Recent content by jusper ochieng

  1. jusper ochieng

    Kituko cha mwaka 90

    Ahaaaaaa Ahaaaaaa Ahaaaaaa Ahaaaaaa
  2. jusper ochieng

    Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    Mwanajopo lazima cm yako iwe inaweza kusoma pdf au uwe na adobe reader..... mm majina ya muce ninayo mkuu.... taja jina lako nkuchekie sasa hv
  3. jusper ochieng

    Between your legs!

    Three amigos between your legs
  4. jusper ochieng

    Nitazuiaje mtu asifatilie mawasiliano yangu ya simu

    Kuna mtu amekua akirekodi mawasiliano ya cm yangu .... yaan sms zote ninazotuma na kutumiwa yy anaziona pia hata nikipiga au kupigiwa anasikiliza maongezi yangu...... nisaidieni njia rahisi ya kumuepuka huyu mtu..
  5. jusper ochieng

    Laptop ipi ni nzuri kwa ajili ya matumizi ya chuo?

    Hallo wanajamvi..... hata mm nahitaji laptop nzuri ya kutumia chuoni.... mm nasomea bachelor with education.. je laptop ipi itanifaa... pia napenda sana kuchek movie na playing games.... so nishaurini laptop nzury........
  6. jusper ochieng

    Nitawezaje kusikiliza Morning star radio online

    Hebu jaribu kuingia play store then tafuta ....adventist all apps.... nathani unaweza kuipata coz happ utaona apps nyingi sana za wasabato.ikiwemo radio na tv..
  7. jusper ochieng

    Mtandao mpya wa kijamii ELLO

    Nimejaribu kutaka kujisajili na huu mtandao lakini nimeshindwa kutokana kutokuona sehem iliyoandikwa sign in ..sign up n.k. sasa kwa anayefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huo mtandao atujuze
  8. jusper ochieng

    Waliochaguliwa MUCE

    Ahahaaaahaaaahaa nonaogopa kuwapa watu taarifa za uongo.... so nina uhakika wa ninachokisema..... mbona mtu wa marekani anaijua tz kuliko ww unavyoijua japokua unakaa tz...... M2flan
  9. jusper ochieng

    Waliochaguliwa MUCE

    Katika kubadili cozi hapa mkwawa hawasumbui ila tu uwe na vigezo vitakavyokuruhusu kusoma hyo cozi unayotak kubadili... Mniwe jr
  10. jusper ochieng

    Waliochaguliwa MUCE

    Hapa hakuna masters..... ukitaka masters ni hadi main campus mlimani... geniusbaraka
  11. jusper ochieng

    Msaada kwa waliochaguliwa UDSM

    Hi.... mm kuna friend wangu hakwenda jexh pia hakuandika barua ilaamechaguliwa udsm so hyo cyo shida yy aende tu....
  12. jusper ochieng

    Nije na blanket?

    Ahaahaaahaaa.... umenikumbusha maixha ya scouts nlipokua kambi la bahati camp kule moro.... rolla
Back
Top Bottom