Recent content by Jusimbe

  1. Jusimbe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

    Alafu kuna mtu anakuja anasema eti ile tume iliyoteuliwa italeta majibu tofauti na aliyotamka Samia hapo nyuma!! Ni ujinga tu.
  2. Jusimbe

    JamiiForums Tanzania Ni site gani nzuri ya kudownload movies mpya?

    No reforms no election
  3. Jusimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume, mkeo/mpenzi akikukimbia nyakati ngumu,fahamu ukweli.

    Haya sasa tueleze njia ya utekelezaji.
  4. Jusimbe

    JamiiForums Tanzania Agano Jeusi

    Uko sahihi kabisa ww lete mambo.
  5. Jusimbe

    JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Acha upoyoyo sisi tunasubili kwa hamu sana tu
  6. Jusimbe

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

    Dunia inakimbia aisee! Yaani enzi za mababu zetu walitufuata mpaka vita vikatokea, leo hii mnajipeleka wenyewe kwa njia ya magendo.
  7. Jusimbe

    JamiiForums Tanzania Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

    Amerahisisha uchunguzi wa polisi!
  8. Jusimbe

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kichawi: Makaburi ya wasio na hatia (The Graves of The Innocents)

    Hii simulizi mwendelezo vipi mkuu?
  9. Jusimbe

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mke Wangu Juliana

    Nimeikubali hii iko mbuya Sana aisee.
  10. Jusimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Moja ya jambo nililo jifunza ktk episode ya 59 ni usia alio utoa mama Insider kwa Insider kuwa Prisca aachane nae kwa sbb atakuja kumletea matatizo makubwa, hilo limeanza kujitokeza na Insider asipokuwa makini na huyo Prisca utabili wa mama Insider utatimia. Tatizo letu sisi vijana wanapo kuzuia...
  11. Jusimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kati ya jambo ulilo nifurahisha ni msimamo wa uamuzi wa kutokwenda na Prisca pale Iryin apokuwa anakisubili, mwanaume mara nyingine unatakiwa kuwa mkorofi kwa muda na kuamua maamuzi magumu yenye faida kwa maisha.
  12. Jusimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Unafanya makosa makubwa ya kumkubalia Prisca kwenda nae huko unako enda kuonana na Iryin aisee!!
  13. Jusimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Moyo wangu umehuzunika sana zaidi ya Insider Man na hata story yeyewe imepungua mvuto aisee!!
  14. Jusimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bila IRYN hii story hainogi aisee
  15. Jusimbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kutokuwa na mahusiano kati yako na mrembo IRYN imeninyong'oneza sana,furaha yangu ya hii simulizi ingekuwa poa kama ungekuwa na mahusiano na huyo mrembo.
Back
Top Bottom