Recent content by Jusaki Ltd

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nimegundua na kujihakikishia asilimia mia moja kuwa mke wangu anajichua!

    Maneno yako yana ukweli 90% ila namna ya kumshauri maneno ni magumu, ila sababu ameshaona kwamba anatuma sana mkono kwa kujichua na yeye anapaswa kumuandaa kwa mkono siyo direct unaanza na papuchi unaanzia mbali kichwani, kifuani kisha namalizia na chini hapo kaa muda mrefu acha pupa ya kupiga...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mtalaam / mtu gani unamuhitaji katika kazi/biashara zako?

    Mimi fundi umeme nahitaji kazi ya kufanya wiring iwe ni majumbani au kiwandani nipo tayari kwenda mikoani, karibuni sana
  3. J

    JamiiForums Tanzania Biashara tofauti za kuniingizia 50,000/= kwa siku

    Mara kamkejeli baba mkwe au kesho anapelekwa na mchumba wake akatambulishwe kwao anakukuta brother umetulia unamchora tu [emoji16][emoji16]
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hivi haya matufaa (apple) yana usalama kweli?

    Ni kwamba hayo ni yale yaliyokaa muda mrefu kwenye friji huko supermarket kubwa kwahiyo hao wanapewa kama reject kuja kuuza yale fresh uwezi pata bei hiyo mkuu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Na hata hizi wanaziita sijui smart phone tunazochat nazo huku Jamiiforum wasingetuleta wenyewe tulizoea kuandikiana barua mashine za kusaga unga tulizoea kutwanga tu tumeacha tamaduni zetu za nyumba za nyasi na kuvaa ngozi leo wametuletea utamaduni wao kupiga pamba "yaani hawa wazungu na waarabu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu zile shuhuda za kilimo cha parachichi mbona kama zimepoa kulikoni?

    Vipi ndugu yangu wa machungwa soko ni la uhakika lakini?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Laki 2 kwa Wiki Freelancing Skill (No Experience Needed with Prove)

    Somo zuri tupe ELIMU zaidi Mkuu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Kwenye hili pana funzo kwa wanawake mtu akishakupata hana tena thamani na wewe kwahiyo acheni kuchepuka kama kuna mapungufu kwa mumeo/mkeo mueleze ufanyiwe nini ili ufurahie maisha ni hayo tu Sent from my SNE-LX1 using JamiiForums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hatimaye leo nimefungiwa umeme toka tarehe 1/7/21
  10. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    WILAYA: ARUSHA MKOA: ARUSHA
  11. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    JINA: BAKARI ABDALLAH BAKARI. ENEO: SOMBETINI /GREEN VALLEY. SIMU: 0784485861/0655485861. TATIZO: KUFUNGIWA UMEME. TAREHE NILIYOLIPA: 1/7/2021. CONTROL NUMBER: 991032655378. Bill NUMBER : 1274. BILL PAID: 27,000/=
  12. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ebu kuweni seriously na kazi yaani mpaka nitoe rushwa ndio nifungiwe kweli?
  13. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sehemu yenyewe ni Arusha Green Valley school
  14. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nimelipia service line tangu mwezi wa 7 mpaka leo sijafungiwa umeme na sehemu haitajii nguzo ni mita na waya kama mita 7 tu
Back
Top Bottom