Recent content by Jurisupridence

  1. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Lushoto Tanga shule MKUZI JUU nije Kahama Idara Secondary,ufanisi unapatikana kwa kufanya kazi katika mazingira zoefu na unayoyapenda kwa dhati toka moyoni. mawasiliano 0769175153 au 0783568968 . MIMI NI MWL. HASSAN MOHAMED.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha ajira za serikali inakuwaje?

    Kuhama wizara moja kwenda wizara nyingine katika utumishi wa uma utaratibu ukoje? anaefahamu pricedures aweke bayana.
  3. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo lushoto tanga nije kahama idara secondary.tuwasiliane 0764752403 au 0655752503
  4. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MIMI NI MWL. HASSAN MOHAMED NAFUNDISHA SHULE YA SEKONDARI MKUZI JUU, HALMASHAURI YA LUSHOTO-TANGA. NAHITAJI MTU WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA HALMASHAURI YA KAHAMA-SHINYANGA.TUWASILIANE KWA NAMBA 0769175153 / 0654712868 au 0783568968.
  5. J

    JamiiForums Tanzania msaada wenu please.

    mwenye uhakika na E mail ya wizara ya elimu ambayo ipo active kwa katibu mkuu aweke bayana kwani inayosomeka kwenye home page yao ya website yao haipo active hata ile ya PS wa katibu mkuu.msaada please naomba mwenye nayo.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Escrow: Pinda vs Lowassa, Muhongo vs Reginald Mengi, Masele vs Balozi wa uingereza

    Tuige mifano katika nchi nyingine kwa hatua zinazochukuliwa kwa watu kama hao zikiwepo nchi za waafrika wenzetu.naonga mkono NI BORA WAPIGWE RISASI WAFE ILI WASIAMBUKIZE VIZAZI VINGINE.SURA MPYA NA MAJINA MAPYA AMBAYO HAYATOKANI NA TABAKA HILO WASIPEWE NAFASI KUONGOZA NCHI HII BILA KUSAHAU CHAMA...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Escrow: Pinda vs Lowassa, Muhongo vs Reginald Mengi, Masele vs Balozi wa uingereza

    Ni kweli ila tukumbuke mkweli siku zote hakubaliki,ila Chama cha mafisadi kimezidi.Najua hata hili nisemalo halitakubalika na wale walioguswa na kashfa hii na ukweli niliosema.
  8. J

    JamiiForums Tanzania MoEVT, NACTE, HESLB na UDOM tunaomba ufafanuzi

    nimeupenda mjadala huu ila ni busara watu wa HESLB wakaja na jibu la moja kwa moja na sio siasa zaidi kwa mfano; Eti vyuo vitaweka utaratibu wa kupatiwa mikopo ili waweze kumudu masomo yao:swali;utaanza lini?utaratibu gani?utaratibu huo utashughulikia suala hilo kwa muda gani? Na hiyo mikopo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Magufuli ajibu hoja za Kambi Rasmi ya Upinzani (Bajeti ya Ujenzi)

    Kuiukweli la ukweli ni bora tukalikubali,Magufuli namkubali na kuikweli anajitahidi sana japo ukweli utabaki kuwa HAKUNA MKAMILIFU KATIKA WANADAMU ZAIDI YA MUNGU PEKEE.MIMI NA WEWE PIA SOTE TUNA MAPUNGUFU YETU ITAKUWA YEYE MAGUFULI KWANI YEYE NANI ASIWE NA MAPUNGUFU?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Magufuli ajibu hoja za Kambi Rasmi ya Upinzani (Bajeti ya Ujenzi)

    Kiukweli hapo hakuna jibu na hakuna tabia mbaya ambayo siipendi kama kupuuza ama kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu.kinachofanyika ni funika kombe mwanaharamu apite ndicho kilichofanyika.Huo ni ujinga mpaka lini.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Magufuli ajibu hoja za Kambi Rasmi ya Upinzani (Bajeti ya Ujenzi)

    Kweli anahitaji kusaidiwa coz udhaifu wa barabara zenyewe na watendaji wengine wa serikali katika sector hiyo na kukithiri kwa rushwa ndio sababu .
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Magufuli ajibu hoja za Kambi Rasmi ya Upinzani (Bajeti ya Ujenzi)

    Kiukweli hapo hakuna jibu na hakuna tabia mbaya ambayo siipendi kama kupuuza ama kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu.kinachofanyika ni funika kombe mwanaharamu apite ndicho kilichofanyika.Huo ni ujinga mpaka lini.
  13. J

Back
Top Bottom