Recent content by Jupa

  1. Jupa

    Aina mpya ya utapeli

    Duuh! Hapo lazima ujae king aisee
  2. Jupa

    Aina mpya ya utapeli

    Sure, nmejiuliza swali kama hilo, wao walitumia kiasi gn mpaka jamaa kuchanganyikiwa kuwaamini hao jamaa? Ila tuwe makini tu maana utapeli unaongezeka kila siku na mbinu tofauti tofauti.
  3. Jupa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ungeweka code ingependeza zaidi, maana kuanza kuzitafuta hzo timu ni kisangaa
  4. Jupa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa hivi ungekuwa na 800k na ushee hko
  5. Jupa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama mm tu, naona imebaki minne tu na huu mwingne naona kabisa unaenda kuchanika
  6. Jupa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji1] mikeka imepukutika hatari[emoji24][emoji24]
  7. Jupa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kweli mkuu, maana nlikua na mikeka kama 12 hvi inapumua but jioni hii imechanika imebaki miwili tu
  8. Jupa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mikeka leo imechanika kwa fujooo
  9. Jupa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Natafuta Samsung s8plus used
  10. Jupa

    Environmental engineering

    Nashukuru sana kwa maelezo yako mkuu
  11. Jupa

    Environmental engineering

    Mkuu unaweza kutoa ufafanuzi zaid?
  12. Jupa

    Environmental engineering

    Unaweza kuzi orodhesha!
  13. Jupa

    Environmental engineering

    Nashukuru sana mkuu. Vp kuhusu field zake
  14. Jupa

    Environmental engineering

    Wadau wa jf naomba msaada wa maelezo juu ya kozi ya environmental engineering inayotolewa ARDHI UNIVERSITY Je hiyo kozi ni nzuri kwa kujiajiri?
Back
Top Bottom