Recent content by Junior Tata

  1. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Hisa

    Kila siku nasikia uuzaj na ununuzi wa hisa, 1. Naomba kuelimishwa maana ya hisa, 2. Unapataje faida unaponunua na kuuza hisa? 3. Nina kamtaj ka million 5 ninaweza kukawekeza kwenye hisa nikapata faida? 4. Uendeshaji wake ukoje? 5. Kuna masharti ya kumiliki hisa?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nina sh 500,000, nahitaji simu imara!

    Nina sh. lak 5 nataka kununua smatphone nzur na imara ninayoweza kutumia kwa miaka 4 bila kupatwa na tatzo vile vile iweze kushika mtandao vjijini, n aina gani ya simu inanifaa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Itawezekana tena?

    ahsante kwa msaada kifimbocheza
  4. J

    JamiiForums Tanzania Itawezekana tena?

    Nilichaguliwa SUA, Bcs. in Water Resource and Irrigation Engneering
  5. J

    JamiiForums Tanzania Itawezekana tena?

    kama nikitoa taarifa tena nitaruhusiwa kuahirisha kwa mara ya pili?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Itawezekana tena?

    Mwaka jana nilichaguliwa kujiunga na chuo kmoja hapa tz, nilienda nikasajiriwa then nikaomba kuahirisha nikakubaliwa kwa mwaka 1 maanayake ilitakiwa niende 2015/2016, mpaka muda huu nmeshindwa kwenda kwa sababu ya matatzo ya kiafya na sijatoa taarifa. Je nikienda mwakani ntakubaliwa? barua za...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 mtaani

    wazo zur mkuu naweza kukufuata inbox kwa ushaur zaidi?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 mtaani

    mwakan lazma niombe chuo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 mtaani

    WanaJF wenzangu nina diploma ya Water Supply Engineering (GPA 4.210), Form 4 nilipata div. II ya point 21 ndo nikachaguliwa technical college, huu n mwaka wa tatu sasa nipo mtaan, naomben msaada
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    siwez kupiga kura tena, huo muda bora nikasage mirungi
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    mbona tarehe haipo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    vp kuhusu kuchamba coz huu wino unawasha kwl
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nimeahirisha tena je n'taruhusiwa tena?

    Je nisipotoa taarifa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nimeahirisha tena je n'taruhusiwa tena?

    naomba mnisaidie, mwaka jana nilichaguliwa kujiunga na chuo fulan hapa tz(SUA) kutokana na matatzo ya kiafya nilienda nikasajiriwa badae nikaomba kuahirisha nikakubaliwa nikarud kwenye matibabu. mwaka huu ndo ilitakiwa niende lakn mpaka muda huu afya yang haijakaa sawa, naomba kuulza 1...
Back
Top Bottom