Wote mnaodhani wanaompinga SSH hawampendi mnakosea sana hata mie nilidhani hivyo mwanzo mpaka yaliponikuta.
Nimelazwa hospitali ya wilaya mkoa mmoja huku kanda ya ziwa sijaamini macho yangu kama ni mimi mtumishi ninafanyiwa hivi embu imagine hospitali madaktari na manesi wanajifanyia kazi kwa...
Dah poleni sana na nikupongeze kwa uandishi smart.Wala usione umelalamika hapana kifo ni mpango wa Mungu kama una imani ila kwa kifo cha dada yako kitumike pia kukomesha uzembe wa wahudumu wa afya natamani Waziri Ummy some uzi huu poleni kwa msiba ndugu RIP dada yetu.
Sometimes wanasaidia wazazi kuchangamka na kuwa active kutokuzeeka vibaya kikubwa watume matumizi Ila hekaheka za wajukuuu kwa wazazi kachumbari poa sana kwa upande wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.