Recent content by junior mbani

  1. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Kuna silaha, au baadhi ya vyombo vya usafiri ambavyo hutumika na jeshi tu. Huwezi kukuta hata sekta zingine za ulinzi na usalama wanatumia. Mfano polisi watumie grenade za nini? Au polisi wana mamlaka ya kutumia ndege za kivita?. Sasa kwanini Chama cha siasa kitumie helicopter yaki vita? Haiwekani.
  2. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Ni kweli kabisa ila hayo maaagano ya siri hayo kwanamna moja ama nyingine ndio yanachangia kutuweka kwenye ukoloni mambo leo. Yaaani bado tupo chini yao
  3. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Je ni kweli maaana haya ni yale yaliowekwa wazi kwa umma kujua historia ya makubaliano yaliotolewa. Je mwenye upande wa pilo ipo hivyo kweli au kulikua kuna makubaliano zaidi ya hayo maaana hadi leo wewe utakua shahidi Afrika haiwezi kufanya maaamuzi makubwa kama bara bila wajamaaa kuweka baraka...
  4. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Mwenye nacho ataongezewa kuna hiii kitu
  5. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Najaribu kutoa kuatafakari tu maswali yanayozunguka kichwa changu,kwa kuangalia matukio yanayo ikumba dunia.
  6. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Tanzania vinaripoti, havichambui. Tatizo lipo kwenye taaluma au ni kukosa wachambuzi?

    Ili uchambue hizo habari inabidi kwanza usikilize ushauri wa mwanasheria kwanza,kwa maaana endapo uchambuzi wako utaenda tofauti na mawazo ya wakuu unaweza kuwa hatarini kwa kushawishi umma kupandikiza chuki ama kuhamasisha vurugu
  7. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    Dear mama ya 2pac inaishi sana aiseee
  8. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?, mimi sina uhakika na lolote najaribu tu kufikiria. Tulipata uhuru bila kumwaga damu, kupitia Raisi wetu wa kwanza Mwalimu Nyerere,Je aliwashinda kwa hoja wazungu na kweli wakakubali kumpa nchi na uhuru!? Kwasababu alikua hana hata kitu cha...
  9. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    Mirro by Lil wayne hiii ngoma inaishi sana,ni moja kati ya ngoma za wayne alizo wahi kukaa na kufikiria sana na kuandika
  10. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    Hiiii ngoma inaishi sana aiseee
  11. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Kama wanaweza kutengeneza Bombadia wanaweza pia kutengeneza chanjo ya Covid-19

    Amini na kwambia dunia ni kweli haipo kama sisi tunavyo dhani ila kutaka kujua inaendeshwaje tutabaki ku hisi tu kwa kutumia tathmini ya matukio ila uhakika hutaupata kamwe labda vinginevyo ukajiunge na shirika la CIA marekani. Nyuma ta pazia kuna giza sana na mambo ya hatari na ajabu kubwa
  12. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Mimi siwezi kuzungumza lolote katiks hili kwa maana sina evidence au uhakika wa mambo yoyote yale ila ninachoweza kusema ni; kuna dunia tunayoishi sisi nikimaanisha wananchi wa kawaida na dunia wanayoishi viongozi wa nchi mbali mbali hapa duniani ambayo nauhakika hatujui ikoje.
  13. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Team zinazoongozwa kwa kuchukiwa na wapinzani duniani namba moja kwa sasa ni Man u,zamani ilikua Barcelona
  14. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yaaaani mtu team yake ikifungwa hauzuniki kama man u ikishinda wanahuzunika sanayani
  15. junior mbani

    JamiiForums Tanzania Kama wanaweza kutengeneza Bombadia wanaweza pia kutengeneza chanjo ya Covid-19

    Watu wanasema hawazitaki chanjo mbona za polio na zinginezo hawakugoma kuchukua? Na waliozitengeneza ni hao hao!
Back
Top Bottom