Recent content by jumbe kideleko

  1. jumbe kideleko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchambuzi: kwanini Simba ni ngumu kutoboa Kwa waarabu

    Timu yako ya yanga ndio kwanza juzi hapa imefanikiwa kuingia hatua ya makundi baada ya miaka 25 unalitambua hilo .
  2. jumbe kideleko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

    Simba amesha wapiga waarabu mara nyingi. Baada ya kumtoa Zamalek bingwa mtetezi 2003 ndio marehemu mzee mkapa akafikiria kujenga uwanja wa taifa (Benjamin mkapa stadium). Simba amefanya mengi Kuliko timu zingine hapa Tanzania.
  3. jumbe kideleko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

    Hongera kwake na kwako . Ulimpata mtu sahihi , msikilize mzee Bitchuka hapo kwenye wimbo unaitwa sogea karibu wa juwata jazz band kuna somo.
  4. jumbe kideleko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta movie Kali za kijasusi

    Angalia Iris ni series ya kikorea
Back
Top Bottom