Recent content by jumanne magere

  1. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha SAD/SOG ndani ya CIA na ushwawishi wa uchaguzi wetu 2015

    Ile miswaada iliyo pelekwa bungeni harakaharaka ili ikapitishwe na kuwa sheria ilikuwa niyanini? Nanikwanini ipelekwe bunge harakaharaka kiasi kile na upnzani ulipo pinga hilo waliondolewa bungeni? Je hatuoni hapo hawajamaa wa SAD wamekwisha wekeza nguvu hapo?
  2. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Rwanda honey now available in European supermarkets

    TZ tunakimbiza upepo tu
  3. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Nawataisoma namba mwaka huu aise
  4. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Hapa jamaa yuko jela Marekani anapata breakfast - mie niko huru Bongo hela ya kula shida

    Duuh!! Ila jela ni jela tu aise maisha ya kubanwa kunyimwa uhuru wa kujiamulia juu ya kile ukitakacho, hayo siyo maisha bhana. Hata uwe unakula hivyo mara 5 kwa siku bado ni shida bhana
  5. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Kahama: Watendaji wa Lembeli, wanadi mkutano wa Tundu Lissu

    Nisahihi kabisa kama alivyo sema mtoa mada hapo juu mimi niko kahama kwahivi sasa tunasubiri ujio wa makamanda wa CDM kuwasiri na mh Lembeli kuudhihirishia umma kuwa yuko cdm rasmi
  6. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka ashauri wabunge wasiwe Mawaziri!

    Kwavile alienguliwa eeh
  7. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Picha hii inatufundisha nini kuhusu kufikiria kwetu kuhusu Watawala?

    Huko si ndo kwa mh Edward Lowasa!! Eeeeh aise nazile pesa alizokuwa anatapanya kiasi kile si bora angejenga basi hata hilo jengo tu pengine angeingia 5 bora aise
  8. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Israel imeunda kikosi kazi kitakachojiandaa kuimaliza Nchi ya Iran kijeshi

    Aise!! tusubiri tuone tu make mambo mengi yamekwisha ongelewa mpa sasa zimekuwa kelele tu
  9. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Iran yaionyesha Marekani kuwa inaweza, yapeleka meli zake za kijeshi karibu na Marekani

    Hizo ndo za mchana kweupe mkuu achana na kitu U S bhana siye tuombe uzima tu ili tuje shuhudia hilo
  10. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Rwandan spy chief Karenzi Karake arrested in London

    Sharia ichukue mkondo wake tuned
  11. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Russia to kill drones, missiles with 10km-range super-high frequency cannon

    Yetu macho wakuu unapoona miamba ikimenyana siye tusie na uwezo tumludie mungu tu
  12. jumanne magere

    JamiiForums Tanzania Rwanda, Tanzania lead Africa in switchover to digital TV

    Safi sana digital kweli ni dhama mpya
Back
Top Bottom