Recent content by jumanne alex

  1. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yapoteza State attorneys kila mwaka

    Labda mtoa mada hapo juu angetuambia ni kada hipi hisiyo kuwa na umuhimu katika kutekeleza majukumu ya kitaifa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yapoteza State attorneys kila mwaka

    Mtoa mada hajui anachokiongea binafsi hakuna kada ambayo ni zaidi ya nyingine pili Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali haitoi ushauri bure kwa wananchi ambao ndio wanafanya wanalipwa mshahara ofisi hii imejaa rushwa ndio maana serikali haishindi kesi ata mtu akija kucertify vyeti lazima atoe...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Acheni propaganda, huyu ndiye rais atakayekidhi kiu ya watanzania

    Hatuwezi kuwapa mafisadi hii nchi bora jiwe liongoze nchi lakini sio mtu aliyewahi kutolewa kwenye uongozi kwa kashfa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada interview utumishi

    Ndugu zangu acheni fikra potofu mnang'ang'ania dar mlizaliwa uko kwan dar kuna nn ambacho hakipo mikoani nendeni mikoani fursa nyingi zipo uko msipo kuwa makini hamta timiza ndoto zenu ata siku moja yangu ni hayo tu, asante.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Interview Utumishi

    Wewe acha kudanganya watu hakuna paper hisiyo sahishwa utumishi wote tumepita uko tunaijua utumishi vizuri sana ninyi siku zote uwa ni watu wa negative tu sasa kama uli score 50% sasa hiv uko wapi
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Man United Overpaid; Di Maria Deal

    Hacha kuropoka ww liverpool, Arsrnal, Chelsea na Man city zilishindwa kushuka daraja Man u ndo ije ishuke subiri hadi tarehe 1 sept ndo uongee kila mchezaji kwenye timu ana kazi yake na tafuta timu mojawapo kati ya hizo apo juu ya kutoa kwenye top 4 maana wanaume wanarudi kwenye nafasi yao msimu huu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Updates Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

    Ni kweli mkuu ata mimi nimepigiwa simu!!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Updates Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

    Mkuu mbona mimi sijapigiwa na wamepiga simu saa ngapi??
  9. J

    JamiiForums Tanzania Updates Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

    Ata mimi niliambiwa kupigiwa simu lakin bado ila jana nilienda kuwauliza wakasema watapiga simu so ondoa hofu kaka tuko pamoja nipe mawasiliano yako tuwe tunajuzana
Back
Top Bottom