Tatizo sioni Serikali ikichukua hatua ya kulinda Raia hasa wale wenye maoni tofauti na wenye kuikisoa serikali,
Bunge halijadili kuhusu kutekwa na kuuwawa Kwa watu , Bali linaongelea mambo ambayo Kwa ujumla Wala hayana tija
1. Jenga nyumba yenye muundo wa chumba sebule kadhaa pangisha.
2. NUNUA Hisa kwenye Taasisi zenye ziko imara kiuchumi.
HAKUNA BIASHARA NYINGINE ZAIDI YA HIZO
Sheria inataka uchaguzi ufanyike Kila baada ya Miaka mitatu ,
Na anayesimamia Sheria hii ni Kuitekeleza na MKURUGENZI WA JIJI.
Ndiye msimamiaji wa shughuli zote za uchaguzi wa VIONGOZI Wa soko
Soko halina meneja?
Ushuru mnalipa?
Kwani bila kuwa na uongozi biashara haziendi?
Ningependa kukujibu baadhi ya maswali
1. Kuhusu soko kuwa na meneja ,
Kama ambavyo ktk taasisi mbali mbali na katika nchi yetu Kuna Sheria ambazo zimewekwa ili zifuatwe Kuna Sheria inataka kuwepo na uchaguzi...
Habari wapendwa.
Tukiwa tupo mbioni kumsaidia mh rais samia kwenye kuleta maendeleo kuna baadhi ya mambo ambayo huenda yanasababishwa na viongozi kwa kujua yaani makusudi au kwa kutojua.
Nianzie kwenye mambo yafuatayo kwenye jiji letu la mbeya ambayo kwa kweli yanakera sana .
#soko la sido ni...
Nadhani Mafundi wapo.
Na asili ya hizo nyumba ni kumwaga ZEGE JUU .
Kwa hiyo nyumba iweze kuhimili hilo ZEGE
Ukipata fundi wa kufanya hivyo na gharama uwe Tayari kuimudu bila shaka huwezi kupata shida
Lazima kusoma alama za nyakati.
😀😀😀😀Ukiona kichaa kabeba mawe na kirungu inabidi utengeneze urafiki TU na Huyo kichaa 🙄
Ndicho wenye Akili hukifanya sasa
Mwaka 2002 nikiwa form two pale Tukuyu day secondary school wilaya Rungwe nilipitia changamoto kama hii ,Nilifiwa na Mama yangu MZAZI nikiwa kwenye mitihani sikuambiwa chochote Hadi nilipomaliza mitihani lakini huwezi Amini kadri masaa yanavyokwenda ndivyo unapata hisia tofauti Tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.