Recent content by jumahija

  1. J

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    PASCO Wewe ulikuwa unataka atumie good governance ya enzi za JK kisha wampige changa la macho waendelee na kuifisidi Nchi? ENDELEA MAJAALIWA HAPA KAZI TUU
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    huyu mtoa mada anaonekana ni miongoni mwa yale MAJIPU aliyosena Rais YANAHITAJI KITUMBULIWA.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sitting allowance ya Wabunge ifutwe au isifutwe?

    Zisifutwe
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Wakimtambua JPM watakuwa washamsaliti LOWASA
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli bila kung'oa hii mizizi utapata shida!

    mwache awape japo nusu yao wakiboronga atakuwa keshapata sababuya kuwatimua. akiwatupa mojakwamoja watamsusumia na kazi itamshinda pekeyake
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    nilikua nategemea kupata jawabu angalau moja kati ya hayo maswali maana na mimi yananiumiza kicha maswali hayo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    hiyo imekaa vizuri sasa kweli HAPA KAZI TUUUUU!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    Na wizara ya fedha aiomgoze mwenyewe asimpe mtu yeyote...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tuseme kweli ili tuwe huru: Kama Zanzibar ikijitenga nini kitatokea...

    wazanzibar watarudi kwenye visasi vyao vya mwaka 1964 na kuanza kupinduwana. kila serekali itakayoingia madarakani itapinduliwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tuseme kweli ili tuwe huru: Kama Zanzibar ikijitenga nini kitatokea...

    wazanzibar hawatakua na serekali ya kidemoktasia itakayodumu. mwenye nguvu ndie atakaekua rais. nae akizidiwa ujanja kapinduliwa. WATAUWANA KINYAMA
  11. J

    JamiiForums Tanzania Polisi waongezewa mshahara nyongeza ya laki tatu

    SIO KWELI mtoa mada anataka kuupotosha uma na tukiwasikiliza na kuwaamini watu kama hawa watatuharibia Tanzania yetu. UKWELI NI KEAMBA POLISI WAMEPOKEA MSHAHARA TAREHE 21/9/2015 NA SIO JANA. NA MSHAHARA ULIKUA NI KIMA KILEKILE WALICHOANZA KUPOKEA TANGU MWEZI WA 7 ILIPOANZA KUTUMIKA BAJETI MPYA...
Back
Top Bottom