Recent content by jumaa_karne

  1. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nina 250
  2. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Halotel router inasimama ngapi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Uwezesho wa bajaji

    Tumia hiyo milioni kutafuta bodaboda ili izalishe bajaji Sent using Jamii Forums mobile app
  4. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    *Agiza dumu mbili za Asali toka tabora au singida *Tafuta vifungashio (chupa 40 max). Kimoja chaweza 350 - 500 * bei yaweza anzia 10,000 - 12,000 kwa lita Sent using Jamii Forums mobile app
  5. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

    Asali kama kipindi cha msimu bei inapungua hadi 60k au 55k kwa dumu la lita 20 kwa nyuki wakubwa. Mauzo yake mara nyingi huwa 12,000 kwa lita ndani ya jiji la Dar
  6. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Chumaulete kwenye Tigopesa; namshindaje huyu adui?

    Unafanyia kazi yako wapi?
  7. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Biashara ya boda boda

    Nimekutumia ujumbe PM
  8. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

    BOXER BM 150 MNATOA
  9. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Bodaboda za biashara tukutane hapa

    je ukiaambatanisha na NYARAKA nyengine humsaidiii
  10. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Wamikoani hutofautiana na Da'slam
  11. jumaa_karne

    JamiiForums Tanzania Nina mil1na nusu je nikinunua hisa za Voda zinaweza nilipa

    NIKOPESHE MIMI BAADA YA MWAKA NAKUPA FAIDA YA MILIONI MOJA NA NUSU ULIYONIPA
Back
Top Bottom