Recent content by Juma Said Kisimbo

  1. Juma Said Kisimbo

    Fundi Umeme wa majumbani, viwandani na Solar system.

    Karibu mteja kwetu ni zaidi ya Mfalme, nipo Arusha lakini nafanya kazi popote ulipo nakufikia sina makuu kwa mahitaji yote ya domestic wiring na industry wiring bila kusahau vifaa vinavyotumia umeme pia tunatengeneza, karibuni sana mawasiliano 0784485861 na 0655485861.
  2. Juma Said Kisimbo

    Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Dah! Pole sana ndugu yangu huyo uzuri wake unamdanganya lkn una mwisho huo hawakawii kuzeeka, hoja yakuhamishwa kitengo ni muhimu sana ongea na HR
  3. Juma Said Kisimbo

    Soko la maembe aina ya (ngowe)

    Habari za leo Wana jamii, mimi nimeanza kulima maembe ya kisasa huko mkoa wa Tanga njia ya Pangani sehemu ya Marungu, sasa nilitaka kujua kama kuna mteja kwa mikoa ya karibu na sehemu husika maana sasa yameanza kuzaa japo hayajachanganya yote
  4. Juma Said Kisimbo

    Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Samahani wakuu nilipotea kwa muda, kuhusu mihogo baadhi ilipata ugonjwa ikaaribika iliyobakia niliuza kwa sh, 150000/= tu, nikaona nibadilishe zao nimepanda miembe ya kisasa aina ya Ngowe heka moja mwaka jana, na mihogo pia ninayo heka 1 yakutoka mwezi wa 9 na mengine heka 2 itatoka mwakani...
  5. Juma Said Kisimbo

    Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Mkuu mambo hayakuwa mazuri Sana ndege walizishambulia sana mlinzi wangu hakuwa makini kwenye ulinzi, hata hivyo choroko ilikuwa ni nyongenza tu kilimo kikuu kilikuwa ilikuwa ni zao la mihogo limekubali sana January natarajia mavuno mazuri tu mlio tayari nawakaribisha marungu Tanga
  6. Juma Said Kisimbo

    Mupo enh

    Karibu mgeni mwenzangu
  7. Juma Said Kisimbo

    Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Hey guys, mimi ni mgeni lkn ni mwenyeji Sana kwa kupita humu ndani nimekuwa nafuatilia michango ya akina Malila na wenzie Muda mrefu, Sasa safari hii nimelima mihogo na choroko Tanga maeneo ya Marungu natarajia kuvuna mwezi wa 6 mwishoni mkae mkao wa kula Insha Allah
Back
Top Bottom