Hakuna chama cha waizi isipokuwa kuna wezi kwenye chama.haya ni maneno ya Wasira.ni kweli ameyaona hayo kwenye chama chao kuna kuna waizi.kwa nini hao waizi hawataki kuachia mchuma.
Nilisikiliza bunge la jana.nimesikitika sana kwa waukawa kurukia treni tayari iko kwenye kasi.namaana CCM wabunge...
Yaani Warioba kutokubali matakwa ya ccm imekuwa shida kwake.nafikiri jinsi mzee huyu alivyokuwa karibu na mwalim.angetakiwa kuheshimika sana.sio mzee Wasira kumdhalilisha hivi.na rasimu alioiwasilisha bungeni sio hio kazi aliifanya mwenyewe.alikuwa na jopo la wanasheria na wasomi...
Hivi watu wangine ni wendawazimu nini.unataka uletewe rasimu ya ccm.kwani ccm kulazimisha kujadiliwa kwa serekali mbili.hio iko kwenye rasim ipi?rasim ilio mbele yao ni ya serekali moja au tatu.huoni hio ya mbili ni yao ccm?
Watanzania wengi kwanza hawaangalii tbc.hata mimi siangaliagi.nikikosa bunge kwenye star tv basi nakuwa sina jinsi.
Jumatatu adhabu ya tbc na kwa njia ya kuwaomba radhi waliowachache.Tindu lissu arudie hotuba yake upya kwa gharama za tbc.------- kabisa hawa.
Pamoja na utaahira wa tbc kumkatia matangazo Tindu.pia wajumbe wenyeviti wa waliowengi au vibaraka wa ccm.wanaposoma maoni yao yaani ya waliowengi wanasoma kwa haraka haraka sana kama mashine ya cherehani.wanapofikia kusoma ya wachache wanasoma taratibu sana kama wamefungwa gavana ili tu muda...
Ndio maana TBC walimtoa TIDO MUHANDO wakamueka mkurugnzi wao mwenye itikadi wa chama cha ccm.
Mbowe tunashukuru kuomba mwongozo na kuwaumbua TBC.ndio maana walitaka chombo kimoja tu cha tv kuonyesha bunge.ilikuwa.kuamua watakavyo.
Kituo hicho cha tv kinaedeshwa kwa rimoti kutoka ikulu huu ndio...
Inawezekana Tanganyika kuwa nchi kwani hapo mwanzo ilikuwa ni nini?
Hivi watanzania sisi tumelishwa nini?au sisi ni vichaa? Yaani tunakataa kurudisha nchi yetu ya Tanganyika.mbona mambo yako wazi kabisa.
SEREKALI YA ZANZIBAR.SEREKALI YA TANGANYIKA NA SEREKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO.
Na Ccm...
Ndio maana lissu alisema aliozoea kunyonga hajui kuchinja.aliozoea haram hajui halali.maneno haya yaliwachoma wahusika hadi moto huo kumchoma mwenyekiti wa bunge hadi kusimama.
Huu ndio ukweli.sababu wanayoongea wakikishi wa wengi.ni maneno yale yale alioongea mwenyiki wao wakati wa ufunguzi...
Kwa mazamo wangu namshauri mchungali Mtikila ambae ndio simba wa Tanganyika kwenda mahakamani haraka kuweka pingamzi juu ya mchakato wote wa katiba kusimamishwa.
Nasema hivyo sababu tayari mchakato mzima umemwagiwa sumu na mweshimiwa rais kwa kuweka makundi ndani ya bunge.kwa hotuba yake...
Mimi nashangaa sana kwa serekali ya ccm na mwenyekiti wao Jk kupambambana na muungano kwa kupiga vita serekali tatu.na raisi kuahidi kwa nguvu zote kukampenia serekali mbili kwa maandamo nchi nzima.
Hivi kuwa na serekali tatu ndio muungano umevunjika tayari?mimi nionavyo kwa serekali hizi...
Umejuaje kuwa ubunge wa kutokuwa na kikomo ni maadalizi ya mwanae Riz?
Ukiangalia kiundani yeye anaondoka mwaka kesho tu.kinacho muuma roho ubunge kuwa wa kikomo ni nini?Anamkapenia nani kuwa mbunge milele hatimae uraisi?ni mwanae tu.uongozi wa nchi hii umekuwa ni wakifamalia.hata aibu...
Katika kipindi cha Itv cha dakika 45.jana yake kabla ya hotuba ya Rais.nilimuona Wasira akiiponda kabisa rasimu ya katiba yenye maoni ya wananchi na ilioyumia gharama nyingi kwa kodi ya watanzania maskini tena wengi wao wanaokula mlo mmoja kwa siku.kwa kweli sikuamini machoni yangu.niliona kama...
Kweli.CCM hubebana wao kwa wao.na hawana aibu.aibu walioipata Meru ya kumpitisha mtoto wa mbunge aliofariki.wanairudia tena Kalenga.lakini sioni ajabu kama mnawie alinyanyuliwa kwa nini na yeye asinyanyue wenzake?wanakalenga kamwe msikubali urith huo.mue ngangari kwa kutopoteza kura zenu...
Hata mimi nafikiri raisi wa inch kutokuwa na mke au mme sisi haitusaidii kitu.sana sana kutokuwa na mwenzi ni kulipunguzia Taifa hasara ya msafara mwingine.sisi tunataka utendaji wake.hata katiba ya inch hakuna kifungu kinachema raisi wa inch lazima.awe anamke au mme.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.