Recent content by JUMA KIDEVU

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sisi ndio watekaji na wauaji, tunawasingizia tu wasiojulikana

    Je ww hapa umepinga au Umeongea?. Kwa kuongea tu hivi unaona kuwa umepinga?. Maneno hayavunji mfupa.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    5QLTK5. Odds 6. Sportybet
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mtoto Greyson Kanyenye(6) siku ya Krismas na kuzikwa tarehe 26 Disemba

    Amefariki tar 25 saa 1 asubuh. Siku nzima Mwili ulikuwa hosp, Amezikwa tar 26 labda mchana au jion. WaTanzania, kwan hapo hamuon ni 25+ hrs zilipita?.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hatua ya msingi imeisha naomba tathimini

    Kwenye ujenz wa Nyumba hiyo ya kupandisha matofali ndio hatua rahisi. Ukishamaliza hapo kuezeka standard ni pagumu. Coz unatakiwa ufanye yote wakat mmoja, Wakat kwenye kujenga unaweza pandisha kozi 5 kwanza. Pia baada ya kuezeka, finishing ndio ngumu. Ogopa sana vifaa unavyonunua vikawa na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hatua ya msingi imeisha naomba tathimini

    Ujenz sio mrahisi kama mnavyoandika hapo juu. Alaf Kuna mtu kasema Nondo 6[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa uzoefu tu, hapo sio chini na Nondo 20 , * 21k. = 800k Kuna kokoto roli 1 hapo, 200k+. Kuna trip 2 za Mchanga 200k Matofali hapo weka 2,000 * 1,250 ni 2.5 Mill Cement ni mifuko 20 kujenga...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kilichofanya wazazi wako wasiwe Matajiri miaka hiyo ndicho kinafanya wewe usiwe tajiri miaka ya leo. Acha lawama!

    Sio Lazima , ila ni Jambo la Muhimu kuwa tajiri. Wote tutakufa, iwe maskin au tajiri , Hatujui tunapoenda. Ni vema tuishi Dunia hii kwa raha na Furaha. Ukiwa tajiri , shida nying utatatua .hivyo ni Muhim kuwa tajiri
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Congo DRC vs Ethiopia, Dah Mkeka wa odds 5 wameushusha wao. A ***** zao
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo Kanji ataumia wallah. Timu kubwa ziko na vibonde. Ila usitake matamaa, odds zisizidi 5. NB : Game ya Cameroon vs Zimbabwe Na Egypt vs Botswana nadhan sio za Direct win.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tia hela hapa mzee. Uhakika
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona odds 4.75 za kibabe kabisa hapa.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sina uhakika sana kwenye hili. Kanji hapa bado hajafanya maamuzi. Kama ni void au lah. Kanji anafuata official results. Zinazotangazwa na bodi husika, Mfano Kama ni TZ, na TFF wakasema timu ipewe point 3 na goli 3, then Kwa manajiri hayo, Romania ameshinda na Kanji atafuata hayo maamuzi. Kama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Imechana hii. Jake kashinda kwa Unanimous decision .(Point). Na sio TKO Majudge wote watatu wamempa point Jake.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ilitokea Fujo dk 90+ (ndan ya zile dk za nyongeza). Game ilikuwa 0-0 . Wachezaj wa Cosovo wakatoka uwanjan, wakasubiriwa baada ya lisaa limoja hawakurudi, refa akaanzisha mpira kukiwa na wachezaj wa Romania wenyewe, alaf mpira ulivyoanza tu , akapiga filimbi uishe. Uwezekano mkubwa Romania...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukute umetia stake ya maana
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mm nadhan angalau tuweke mikeka hata mitatu. 1. Direct win changanya na DC 2. Over 1.5 changanya na Under 4.5 3. Cards over 2.5 na Corners over 6.5 Pia odds zisiwe mlima sana na stake isiwe ndogo sana. Hizo options Kanji hachomoi , tutampuna tu
Back
Top Bottom