🛑Mwisho wa Safari wa CHADEMA? Hali Tete Ndani ya CHADEMA Kufikia Juni 30, 2025: Viongozi wa Kanda na Wanachama Wakimbia Kwa Kasi
Mwanaharakati Huru Tanzania;
Katika siku za hivi karibuni, hali ya sintofahamu na mtikisiko wa kiuongozi ndani ya chadema imefikia kiwango cha juu kiasi cha kuibua...
BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA ASILIMIA 100 MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA BAJETI YA MWAKA 2025/2026
Siku ya Ijumaa Mei 9, 2025 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa asilimia 100 Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha...
TAMKO LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA ULAYA
Dar es Salaam, 8 Mei 2025
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea taarifa ya azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati...
WAZIRI AWESO AMELIOMBA BUNGE KUIDHINISHA JUMLA YA SHILINGI TRILION 1.016 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha jumla ya Shilingi trilioni 1.016 kwa ajili ya...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesamehe faini za maji kwa Wananchi wote wenye faini katika Mamlaka za Maji nchini hivyo wenye faini wameombwa kufika kwenye Mamlaka hizo kwa ajili ya kurejeshewa huduma ya maji ambapo wanatakiwa kufika kuanzia sasa hadi May 31,2025.
Waziri wa Maji...
MARIA SARUNGI AMEANDIKA KWENYE UKURASA WAKE WA X KUWA GODBLESS LEMA APOKEA BILIONI 4 KUISAMBARATISHA CHADEMA.
"🚨‼️Kaka yangu GODBLESS LEMA ametuchoma wapigania Haki.🚨‼️ Wakati tunalilia haki, tunapambana kwa ajili ya Mdude, yeye anapokea bilioni 4 kwa ajili ya kuizamisha CHADEMA polepole...
Tanzania - Comoro kuimarisha ushirikiano katika Usafirishaji
Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amemhakikishia Waziri mpya wa usafirishaji wa Comoro Bi. Hassane Alfeine Yasmine kuwa Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano uliopo katika sekta ya usafirishaji wa Angani na Baharini...
RAIS SAMIA AVUTIA UWEKEZAJI WA TRILIONI 1.4 - MADINI
▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4
▪️Dhahabu ya kwanza kuanza kuzalishwa robo ya kwanza ya Mwaka 2027
▪️Rais Samia apongezwa kwa mazingira bora ya uwekezaji
▪️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali
Kampuni ya Perseus...
BALOZI NCHIMBI AELEKEZA WIZARA YA MAJI IWEKE MSUKUMO MRADI WA TARIME - RORYA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa Wizara ya Maji kuweka msukumo na kipaumbele ili mradi wa maji wa Tarime - Rorya ukamilike kwa wakati uliopangwa na...
WASIRA AMTAHADHARISHA MARTHA KARUA WA KENYA KUJIPIMA UBAVU NA CCM.
Asema kama anajiona anaweza kutatua migogoro aende nchi nyingine za Afrika
Na Mwandishi Wetu,Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjia juu Mwanasheria maarufu na mwanasiasa wa nchini...
RAIS SAMIA AIDHINISHA BILIONI 30 KUKARABATI BARABARA ZILIZOATHIRIWA NA MVUA
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah...
SEKTA YA MADINI YAFIKIA MCHANGO WA ASILIMIA 10.1 KATIKA PATO LA TAIFA
▪ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini
▪ Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025
▪ Sekta Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni
▪ Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa...
NI JUKUMU LA UVCCM KUWALINDA VIONGOZI WETU WA CHAMA - SHAMIRA
Mjumbe wa Baraza Kuu (UVCCM) Taifa Ndg Shamira Mshangama amesema vijana wa CCM wana jukumu la kulinda viongozi wanaotokana na Chama cha Mapinduzi kwa kuhakikisha wanaendelea kushika nafasi ambapo kama Mbunge au diwani alikuwa ni...
BALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa wanaojaribu kuhatarisha haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.