Recent content by Juma Dallu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Unaogopa Kufa?

    Hakika kifo kinatisha embu siku moja nenda kahuzurie au kashiriki mazishi ya kiislam ndo utaelewa ni maana halisi ya kifo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Video: Mjadala wa Wachina rasmi umetua Bungeni. Hongera sana Charles Kimei kwa nondo hizi, tunaomba hatua zianze kuchukuliwa!

    Hujalazimishwa kucheza kamari za wachina ni hiyari yako na tamaa yako, km kufnya biashara za uchuuzi ht wew unaweza kufanya kwani mtu akizaliwa dar halafu akaenda kuwa machinga mwanza ni kosa? au afukuzwe ili afanye mzawa. wao wameona fursa ilipo acha watumie na kuhusu kuweka bei ndogo za...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

    Wakati nyerere anapigania uhuru aliungana na wazee wa kiislamu kule tanga watu walifunga na kuswali na nyerere alifunga pia na dua nzito ilifanywa na waislam
  4. J

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI juu ya Deni la Taifa na namna Rais Samia alivyotumia vizuri kila Senti aliyokopa katika Miradi ya Maendeleo

    Mtoa post una swaum kali ngoja uftari ili akili irudi
Back
Top Bottom