Waungwana nahitaji elimu kwa hili la kjj cha rupota w nachingwea.mtendaji Wa kjj kwa ushirika Wa wahuni ambao not wajumbe s/kjj ,wamewapiga faini ya tshs 25000/ wananchi wasio na choose bora na salaama.bnafc najiuliza HV kwa mazingira ya kjjn MTU inawezekana akawa na choose bora na salama wakati...
Dereva kafanya nn acha kudouble standard hoja.umeambiwa wasiojulikana cha mcngi ni kamera za CCTV but kama bungeni zilitoka hapa zitakuwa n mbovu kwa musa huo Wa tukio
Kama ndivyo ili taaluma na siasa viciingiliane ,hats uteuzi Wa wakuu Wa idara ucteuliwe na mwanasiasa(rais nk).ama kweli awamu hii tutashindwakuona ya firaun ila ya musa tutayaona cos akina musa wamfanowe tunao mitaani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.