Recent content by juma athuman mbunda

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kama mtanzania napataje fursa ya kwenda kufundisha nchi kama Shelisheli, Kanada, Norway au Kenya?

    Jamii forums Kuna watu kazi Yao kubwa kukatisha watu tamaa hakuna kitu ambacho hakiwezekani, watanzania tunaweza kuwatumeelimika ila bado tuna uswahili mtu kapost anaulizia vigezo vinavyotumika ili aweze kupata nafasi kama unajua mpe mwongozo sifa Gani anatakiwa awenazo sio kila post lazma...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

    Utarudi Burkina Faso na viatu tu mobeto ni kama FBI kazini acheki na mungese
  3. J

    JamiiForums Tanzania Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Nikiandka Kwa kifupi Kuna wadau wananiambia nijieleze vizuri wasifu wangu sawa nitarekebisha
  4. J

    JamiiForums Tanzania Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule za kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa?

    Shule za kiislamu nyingi Huwa hata mishahara ya walimu inasumbua hivyo walimu wanaofndshag ni wake wanaojitfuta
  6. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  7. J

    JamiiForums Tanzania Habari zenu natafuta kazi elimu kidato Cha nne mwenye connection za mashirika mbalimbali, bandarini au kampuni za usafirishaji

    Sawa buana ila tunajaribu kutafta network mtandaoni pia najaribu kulenga mwezi ili nikikosa nipate nyota
Back
Top Bottom