Recent content by julyhero

  1. julyhero

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Aisee, huyu ndiye Mayalla ninayemsikiaga au ni mwingine..
  2. julyhero

    Video: Rais aliyechaguliwa na Wananchi hahitaji Ulinzi mkali wa kutisha

    Hakuna kitu huyu jamaa anapenda kama attention. Yaani, ego imemkaa hasa.
  3. julyhero

    Tumefikaje hapa, usalama mlikua wapi hadi taifa liko hivi!?

    Wamebaki kupoteza watu wasio na hatia tuu. Misingi ya kazi imezikwa. Taifa liko gizani.
  4. julyhero

    Sitaisahau siku ya interview

    Bila shaka ulisoma Kiswahili (KF). Siyo kwa uandishi huu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Ahsante sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Sawa boss. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Mkuu Mungu akusaidie umpate sahihi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Mkuu nimekuelewa, ninayemzungumzia ni mtu wa karibu, awe wa kiume au wa kike sijali, ili mradi awe ni rafiki wa kweli. Kuhusu konewa huruma mkuu, ninajua hakutonipa mwenzi sahihi, je huruma zikiisha? Sina nia ya kuonewa huruma. Michango ya mawazo tu itanitosha. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Hahhaha.. Jitafakari mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Nashukuru sana mkuu kwa mawazo yako. Ninazidi kujifunza. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Ahsante sana kwa ushauri. Nitaufanyia kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Itabidi mkuu. Ahsante sana kwa ushauri
  13. julyhero

    UPWEKE: Ni lini nitapata rafiki mwingine wa kweli?

    Asante sana Dharra kwa ukaribisho. Nashukuru sana.
Back
Top Bottom