Recent content by Juliusi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Askari kusimamisha gari akiwa katikati ya barabara ndiyo shida!.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni laana kuichagua tena CCM, Mungu atailani ardhi yetu

    Watanzania tuna laana ya utumwa!, tumeburutwa na ccm miaka 50 bado tu tunajipa moyo. Tuombe Mungu atuondolee hii laana ya kusahau.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA, Tanganyika packers Kawe jijini Dar

    Mafisadi wakiona mkutano huo ulivyo fana!, matumbo yanapata moto.
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    Ccm ni chama imara chaku walaghai kina mama kwa kanga, kofia na vijisent ili wapate kura za ushindi. Kina mama amkeni!.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa kuabudu ni usumbufu kwa wasiowaamini

    Tuwasamehe, kupiga kelele ndiyo jadi yao.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto alawitiwa ndani ya ofisi za CCM

    Ccm tuzidi kuikumbatia. Ccm kirefu chake ni nini?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa afanya kufuru nyingine, atumia milioni 270 Mwananchi Communication Ltd kumpaisha kisiasa

    Wanao mpinga Lowassa ni sawa na kenge nani ya msafara wa mamba.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Treni!

    Zitto danganya toto, hatakama amelelewa na Chadema hana tofauti na kinyonga.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa afanya kufuru nyingine, atumia milioni 270 Mwananchi Communication Ltd kumpaisha kisiasa

    Lowassa ni jembe la kaskazini, kura yangu ni kwake. Siangalii chama chake.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    Hayo nimawazo take, utamchaguaje maskini awaongoze maskini.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Mrema alikuwa zaidi ya Zitto leo yukowapi!? Zitto nikama mafuriko ya muda mfupi, hana jipya.
  12. J

    JamiiForums Tanzania NEC: Hatutaahirisha Uchaguzi Mkuu Oktoba, wala kuiongezea muda Serikali iliyopo Madarakani

    Wafuata upepo ndani yanchi wanazidi kuongezeka, nchi inawaya Waya, wajinga wengi wanazidi kushabikia vyama, dini na makabila.
  13. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tulikupenda, lakini ACT Tunaipenda zaidi

    Act nichama chakidini, Fanya uchungzi utapata jibu.
Back
Top Bottom