Katika mkutano huu kamtuma tena Makamu wa Rais, Mhe. Suluhu. Hata hivyo, sioni tatizo kwa yeye kutokwenda kwa sababu mikutano hii haina tija yoyote. Kwa wakati huu kipaumbele ni kuipanga safu yake ya uongozi na kuweka nidhamu inayotakiwa. Kama kiongozi lazima uwe na vipaumbele huwezi kuvamia...
Nakubaliana nanyi kuwa suala hili lilihitaji uchunguzi kubaini ukweli kwa kuwa naamini kila mhusika anaweza akawa amechangia kwa kiasi fulani katika tatizo lililojitokeza. Nilichotaka kuwakumbusha ni kuwa kulingana na sheria za utumishi, Rais ana mamlaka ya kumstaafisha/kumfukuza mtumishi yeyote...
Suala la mifuko laini ya plastiki nimelisikia kwa muda sasa katika vyomba vya habari. Serikali ilitunga kanuni zinazoelekeza unene maalum wa mifuko hii ya plastiki ili iwe rahisi kurejeleza. Aidha, miaka ya nyuma mifuko hii inapoagizwa kutoka nje yanchi iliwekewa kodi kubwa ili kupunguza wingi...
Usimamizi wa taka katika miji mingi hapa nchini ni donda ndugu. Hili linachangiwa na mengi, ikiwa ni pamoja na:
uwezo mdogo wa Halmashauri kukidhi mahitaji ya usimamizi wa taka kutokana na ongezeko kubwa la wakazi wa mijini;
asilimia kubwa ya makazi mijini ni holela (70-80%) na hivyo...
Tusijidanganye, gharama ni zile zile hata kama zinatofautiana ni kidogo sana, gari, nyumba, stahili za maji, umeme, furniture na lunch, mishahara mikubwa...... kitu kile kile, gharama ni kubwa, tusijidanganye
Hili jambo la kuwa na zaidi ya katibu mkuu mmoja katika wizara moja hata mimi limenishangaza sana. Aidha, linaakisi kuwa wizara husika ziliundwa kimakosa kwani zilipaswa zijumuishe sekta zenye mwingiliano mkubwa na hivyo kuondoa umuhimu wa kuwa na utitiri wa Makatibu wakuu. Kimsingi sekta...
Kwanza, nadhani tunahitaji adhabu kali zaidi kwa ukwepaji kodi vinginevyo huu mchezo utaendelea. Pia mfumo wa ulipaji kodi na udhibiti wa utokaji wa makontena na bidhaa nyingine utumie tehama zaidi ili kuboresha mfumo. Hii ni hatari mno kwa ukusanyaji wa mapato na mustakabali wa taifa kwa...
Hali ya Kisiasa
1. Mgogoro wa Zanzibar ni jukumu lako kwa sasa halikwepeki. Tafuta wasuluhishi wawili (kutoka Bara na Visiwani) wakusaidie kulishughulikia hili
2. Katiba mpya ya JMT ? pengine si ajenda ya chama chako kwa sasa lakini linahitaji dhamira yako ? chonde chonde...
Kulingana na ninavyofahamu utendaji wa Rais Mteule, Bw. Magufuli, natabiri kuwa muundo na Baraza lake la Mawaziri litakuwa kama ifuatavyo:
Waziri Mkuu
Dkt. Harrison Mwakyembe.
Ofisi ya Rais
Utumishi ? Dr. Norman Sigalla
Mipango na Uratibu ? Angelina Mabula
Utawala Bora ? Dkt. Hamis...
Only States may apply to and appear before the International Court of Justice. International organizations, other collectivities and private persons are not entitled to institute proceedings before the Court.
Only States may apply to and appear before the International Court of Justice. International organizations, other collectivities and private persons are not entitled to institute proceedings before the Court.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.