Recent content by Julius Constantine

  1. J

    Tupeane links za nyuzi za JF ambazo tunazoshindwa kuzipata

    Nisaidie link ya uzi unaoelezea jinsi profesa maji marefu alivyokuwa anawatabiria wakuu wa nchi na kuwatengenezea zindiko la kitaifa watawala wetu
  2. J

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Mkuu Bm x6 kesi yako nilikuachia mwenyewe umalizane nayo peke yako.
  3. J

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Sawa nipo safarini kidogo nje ya nchi nipe muda nitulie ntakurudia mzee baba
  4. J

    Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    We mzee baba umeingiaje hapa harafu unazidi kumpoteza dada wa watu ishu ya utelezi sio ndogo mkuu!!?
  5. J

    Unakuta Mwanaume anavuta shuka muda huu, Wenzie tunaponda maisha bar

    Kiranga wewe nenda tu huko kwenye Yale mambo yako magumu magumu, kama mijadala ya uwepo wa Mungu, na mengineyo ya kisayansi. Waite maswahiba wako akina nyani ngabu,mshana jnr, faiza fox, DaVinci, Pasco bila kumsahau mmadenyi
  6. J

    Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

    Hongera sana mkuu kwa kuyachakata machaka yote makubwa ya migodi kwenye hii nchi yetu pendwa, yenye kila aina ya matukio
  7. J

    Ya Mungu mengi ila Dunia ina mengi pia

    Kwani mimi huyu huwa naishi dunia gani hasa isiyokuwa na ufahamu, nami siku moja moja nikawa naulisha umma wa watanzania madini yaliyoshiba kama haya. Samahani napita tu nikiwasalimia wadau wa huu mjadala
  8. J

    Nimestaarabika jioni sana, sasa rasmi niko mtaani

    Sijuwi kwanini nini nimeshikwa na uoga baada ya kusoma hii thread.
  9. J

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    BM X6 vipi mzee watu macho kodo huku muda wote tunazama kwenye uzi lakini hatuoni mzigo mpya uliotupia
  10. J

    Fahamu Utajiri Wa Kishirikina wa Matajiri wa Kahama, Shinyanga

    Majibu mengine bana huwa yamenyooka vizuri sana
  11. J

    Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

    Kwani nini kinashindikana iwapo tu maslahi wameafikiana. Kumbuka Charles alipotoka London alikuja kufanya kazi azam pamoja na swahiba wake Tido baada ya kusitishwa mkataba wake pale Tbc
Back
Top Bottom