Recent content by JULIETH JOHN

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba kwa ajili ya ofisi inahitajika

    Ofisi ninayo mbezi beach along the main road ya bagamoyo road gorofa mbili.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota VX na Land Rover

    Landrover aina ni discovery rangi ya dark green na toyota vx ni silver metallic
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota VX na Land Rover

    Gali ziko dar es salaam mbezi beach, serious buyer aje kuziona. Piga simu 0754002900 au 0754002700.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota VX na Land Rover

    Nauza gali zangu mbili zenye sifa zifuatazo: toyota vx ya mwaka 2000, manual, inatumia diezel, nimekuwa nikiendesha mwenyewe (mwanamke). Bei maelewano. landrover ya mwaka 2005, automatic, petrol, nimekuwa nikiendesha mwenyewe (mwanamke). Bei maelewano. gali zote ziko katika hali nzuri...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba kwa ajili ya ofisi inahitajika

    Naomba niiuzie ofisi yenu au mdau yeyote gali la kazi - toyota vx milango saba, manual ya mwaka 2000. Bei maelewano simu yangu ni 0785828090.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba kwa ajili ya ofisi inahitajika

    Nyumba kwa ajili ya ofisi ninayo yenye sifa zote. Ila iko mbezi beach africana along bagamoyo road.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Pinda agutuka kumbe UDOM imejengwa jangwani.................

    Hawa wanafunzi nao mabishoo. Kwani wenyeshi wa maeneo hayo si wanaishi? wanapata wapi maji, na wao its high time wajitahidi wa-coap na situation. Wanasaau shida zilizo watoa kwao?
Back
Top Bottom