Wooow, kama vyuo vyeti vinazalisha political scientist wa mfano wako basi tuna tatizo kubwa zaidi kuliko nilivyodhani.
i} Hakuna unachokijua kuhusu siasa zaidi ya jina lenyewe "siasa".
ii} Kuna mahusiano yasiyo ya moja kwa moja baina ya pilitical thoughts za akina Niccolo Machiavelli na...
Samahani kidogo, naomba kujua una elimu gani na umesomea wapi..?
Pia nataka kujua kama umewahi kushiriki shughuli yeyote ya kisiasa ama kuwahi kugombea hata ujumbe wa serikali za mitaa tu..?
Nikisoma thread kama hizi zenye maneno mafupi na mazito napata faraja kuuona ukweli ukiendelea kuenezwa na kueleweka kwa watanzania...tuendelee kuhamasishana kuueleza ukweli kwa jamii yetu ili wajue nafasi ya CCM katika maisha yao na wajue matapeli wa siasa wengine ambavyo hawana mchango wowote...
Ndugu yangu, kama ni mtu mstaarabu utaelewa kwanini nimeanza thread yangu kwa kuomba msamaha na kuwataka radhi wanajamvi, ninayo majukumu mengi. Wakati mwingine majukumu hayo yananinyima fursa hii muhimu ya kuungana nanyi kwenye jukwaa hili.
MUNGU akiniwezesha kumaliza shule yangu vizuri na...
Kama nia yako ni kutaka kuelewa naomba nikujibu kama ifuatavyo, kwa taasisi hasa taasisi ya kisiasa uimara wake na ubora unategemea maono na fikra za kiongozi wake wa juu kabisa kwa maana ya Mwenyekiti. Ndio maana wakati fulani msemo maarufu wa "Zidumu fikra za Mwenyekiti" ulitamalaki...
AMANI IWE JUU YENU ENYI WAJA WEMA WA BWANA MUNGU WANGU...!!!
Naomba niwaombe radhi kwa kukaa kimya na kutochangia lolote kwa muda mrefu katika jukwaa hili muhimu. Naomba nichukue fursa hii kuendelea kuwafikirisha katika mambo muhimu ya kisiasa yanayoendelea katika siasa za nchi yetu hasa kambi...
Nimekuja kusahihisha kile ulichokisikia, siwezi kuanza kutukana watu bila sababu za msingi, mimi sio kichaa. Na kuhusu heshima hilo ndilo vazi langu.
Ingefaa zaidi kuwauliza waliopanga njama hizo, wangekusaidia kujua kwanini wamepanga kunidhuru lakini jambo lingine la ziada nitakalokukumbusha...
Wanajamvi,
Kwa muda sasa nimekuwa kimya sana kuchangia na kushiriki mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye jamvi letu hii ni kutokana na majukumu yanayonikabili ikiwemo kazi pamoja na shule.
Nalazimika kurudi tena jukwaani kutolea ufafanuzi wa kile kilichotokea jana katika viwanja vya bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.