Mtendaji mkuu wa iyo wizara ni katibu mkuu na sio waziri hivo basi ingependekezwa serikali iteuwe katibu mkuu wa wizara iyo awe ni daktari mwenye ufahamu na maswala hayo ya afya ,!!!!!
Serikali
Rwanda haina mahusiano mazuri na congo ,hasa upande wa magharibi mwa ziwa kivu,na majinbo ya kivu,Goma! Ambapo hakuna usalama na Kuna makundi mengi ya waasi yenye siraha Kali
Ardhi inatakiwa itolewe idara ya halmashauri ,na iundwee mamlaka ya kusimamia ardhi kama magufuli alivoivunja idara ya maji iliyokuwa chini ya halmashauri nchini! Samia anatakiwa avunje idara ardhi iliyochini ya halmashauri ,na atengeneze taasisi,wakala, mamlaka inayoshughurikia masuala ya...
Mbona nasikia Rwanda nzima Imepigwa lami, kigali yote Iko safi , maendeleo kama yote! Yani ni nusu ulaya,na anatamba na logo ya visit Rwanda kwenye klabu ya arsenal na psg kuvutia wataliii
Mfumo wA uongozi wa soko ndio shida,Kodi wanakula na hawapangi watu ,wakupanga usafi,na Hilo soko linafaa livunjwe lote lijengwe kisasa,na pia serikali inatakiwa iwasimamie Viongozi wa mazingira bwana afya,na wizara ya ofisini ya makamu wa raisi na mazingira , kuhusu , kuweka sera ya usafi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.