Loh! Kweli hizo zote ni sifa (vivumishi) vya Yesu Kristo ila "Bright and Morning Star" huyo ni Lucifer (shetwaan)..ndio maana ya Lucifer..akiitwa hivyo kabla ya kuasi na kufukuzwa
Vatican wanamiliki Banco Ambrosiano, na kuwa na hisa kubwa kwenye kila kiwanda kilichopo Italia, kuanzia vile vyuo silaha, magari, ndege (choppers) hadi madawa. Aidha wanapokea pia michango kutoka majimbo yao tajiri zaidi kama Chicago nk.
Hiyo timu ilikuwa imekamilika. Hapo ongeza David Mwakalebela, Selemani Said Sanga na Salum Kabunda. Sifa moja ya wachezaji wengi wa timu hii walikuwa hawaonekani kama wachezaji mpira ukiwaona mtaani(kama walivyokuwa wachezaji wa Cameroon kina Geremy Njitap) lakini muziki wao uwanjani ulikuwa...
Kaka una umri gani? Kama una umri kidogo ungejua kuwa Mzee Reginald Mengi anao ulinzi tangu kipindi alipofukuzwa na gari liliokuwa na watu "wabaya". Kufuatia tukio hilo aliyekuwa RPC Tryphone Maji na Katibu Mkuu Silvano Adel Lando (r.i.p) waliwajibishwa
Tofauti na ngumi (boxing), mpira haujalishi ulipiga pasi ngapi au ulimiliki kiasi gani. Kanuni iko kwenye kufunga bao. Kama hukufunga haya mengine ni porojo tu!
Kwa hiyo kulingana na gemu ilivyokuwa Yanga wanastahili pongezi!
Tatizo mnashindwa kujibu tu hoja uchwara kwa hoja kuntu.
Ni hivi. Mtaji wa mwanasiasa ni watu. Kutatua kero zao/kuahidi kuzishughulikia ni kazi muhimu ya kisiasa. Operesheni Sangara ni mojawapo ya uthibitisho wa ninachosema. Hivi opereisheni ile ilirudisha gharama(za kifedha) zilizotumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.