Recent content by judo2016

  1. J

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mungu wetu ni mwema. Kayaweka haya yote ili kumjaribu mwanadam kama kweli anafuata sheria zake. Na ndio maana tuliwekewa Amri kumi. Usimjaribu Mungu bali jitahidi kufuata amri zake kumi ndio utapona na matatizo yote ya dunia hii yetu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

    Dunia Ina mambo daah ndimu limao jik parachichi vitunguu swaumu sasa si wataoza jamani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

    Hahahaha
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa hela ya kusukia

    Hizo 30,000 zinaokotwa au zinatafutwa kwa Jasho. Kwa siku hata 20,000 hupati halafu utoe 30,000 kiurahisi ndio maana vijana wengi TZ maskini
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa hela ya kusukia

    Duuuuuh.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa hela ya kusukia

    Na ukituma humpati tena
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa hela ya kusukia

    Hata mimi ishanikuta inaonekana siku hizi hawa wanawake ndio mbinu zao
Back
Top Bottom