Recent content by Judithkaunda

  1. J

    Simulizi: Najisalimisha

    SIMULIZI: NAJISALIMISHA MTUNZI:JUDITH KAUNDA 0682253906 STELLA Kwenye hii Dunia kuna mambo ambayo kila mmoja wetu amelazimika kuwa nayo bila hiari yake, kama ambavyo maisha hayatupi nafasi ya kuchagua kuzaliwa jinsi tulivyo. Hakuna aliyechagua azaliwe na mzazi aliye naye. Kama ilivyo kwa...
  2. J

    SoC02 Nimeishi utumwani miaka sita

    Pole kama nimekuvuruga, nilitaka ujumbe ufike kwawale ambao hawajaingia huko.
  3. J

    Mzazi wakati unasomesha usisahau kuwekeza kwaajili ya kesho yako

    Habari wana JF, Asilimia kubwa humu wazazi wetu wameishia elimu ya msingi na wengine hawakusoma kabisa, lakini wamepambana kwaajili yetu na kwakiwango kikubwa wamefanikiwa tumesoma sekondari na wengine mpaka chuo. Hata wewe hapo ulipo unapambana mwanao afikie elimu ambayo wewe hukufika na ili...
  4. J

    Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako

    Ukiambiwa ukafunge harusi sehemu mliyokutana na mpenzi wako kwa mara ya kwanza, harusi yenu itafanyika wapi?
  5. J

    Tukio gani umewahi kufanya ukweni na hutokuja kulisahau?

    Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu. Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
  6. J

    Wanawake tuache ubinafsi!

    Hii ndiyo dunia niliyoambiwa kuwa uyaone! Wakati wengine wakikesha kwenye ibada na kwenye vilinge vya waganga kutafuta ndoa, wengine ndoa zimewashinda wanatamani kuachika. Lakini wanawake tuache ubinafsi! Wakati unafikilia kuachana na mumeo unajifikilia mwenyewe tu, "Nikitoka hapa nikapange...
  7. J

    Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Kweli kabisa, lakn lengo langu tusiendeshwe nahisia zetu matokeo yake sio mazuri kabsa
  8. J

    Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  9. J

    Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  10. J

    Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Nilitaka ujue sababu hyo kaka ingawa zipo nyingi na anaweza akawa na yake binafs mm nimeongelea sababu ya kimaumbile tu
  11. J

    Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Niko kwenye ndoa mwaka wa Saba kaka, mm ni mwandishi sio kwamba yote nayoandika nimepitia hapana
Back
Top Bottom