Recent content by JUDITH TEMU

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    na nyie michadema sijui huyu zitto amekukoseeni nin?!!! maana mnamfuatilia na kumzushia kijana wa watu mpaka inakera. sasa asisalimiane na watu?!!!! nyie mbona mmepewa lowassa na ccm na hakuna anayewajadli.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    we hakuna utakayemtoa akili na mawazo hapa, labda ni hao wanaUKIWA wenzio. ukitaka serikali ikae kimya na kuzubaa tu wakati tayari kuna watu wameshatangaza vita! hivi kuwaamrisha watu walinde kura unajua ina maana gani?!!!....ni kupiga makelele, kutisha watu wanaokuja kupiga kura na kuzomea...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa kavunja record, tumpe kura ya ndiyo

    12STONE SIMBILISI WE!!!!!!!!!!!! hata adolf hitler alipendwa sn ujerumani, TENA NA WATU WOTE NA SI NA BAADHI YA WATU KAMA LOWASSA ANAVYOPENDWA NA WANACHADEMA (maana najua hayuko mioyoni mwa wanacuf na wananccr-mageuzi, wanaenda tu kwenye mikutano sababu ya mkono wa chuma uliopo huko vyamani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    navipongeza vituo vyote vilivyoamua kupotezea mipasho ya huu ushetani usio na tija kwa wananchi. nina uhakika ukawa wamehuzunika kweli maana walivyosikia kuwa anaongea na vyombo vya habari leo basi walijiweka tayari kweli wakifikiri kuwa kuna la maana litaongelewa...matokeo yake ndiyo hayo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Eti CCM wanaogopa kuibiwa kura!!!

    ndugu unamhitaji YESU KRISTU kama siyo MTUME MUHAMMAD kwa uongo huu mkubwa!!!!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Updates: Mikutano ya Lowassa mkoa wa Dar Es Salaam - Tarehe 7 Septemba, 2015

    mtu wa kazi huwa hachekicheki hovyo. na vp yule babu yenu ambaye hutikisika mdomo tu wakati ukitamka, ''peoples....peoples......peoples....''. sehemu zingine za mwlili zote zimekomaa..hazitikisiki hata kidogo!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Updates: Mikutano ya Lowassa mkoa wa Dar Es Salaam - Tarehe 7 Septemba, 2015

    muda mfupi uliopita tuliambiwa humu kuwa watu jana walienda kuona wasanii tu huko moro na siyo magufuli. leo bila shaka wameenda kumuona lowassa na kusikiliza sera nzuri zitolewazo naye na siyo kuona wasanii, au siyo ndg?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe falsafa ni rahisi hivi?

    nikiangalia hilo bichwa lako hapo, sishangazwi na hicho ulichokielewa!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili

    ahsante, umejitahidi kujieleza...kinachonisikitisha tu ni kwamba, nikisoma maelezo yako, nagundua kuwa hata wewe mwenyewe huamini hilo moyoni mwako
  10. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili

    kama kweli maneno haya yametoka kinywani kwa mh. lowassa, na siyo vibaraka wake kina mbatia, basi naunga mkono hoja kwa 100% kuwa huyu mzee ni mgonjwa!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Majibu ya kisayansi: Lowassa na Sumaye!

    hii ni hatari sana,.....na haya ndiyo mawazo ya kukurupuka kwa wanaukawa (chadema) wengi...sasa sijui hawa waumini wa dini hii wametajiwa nini hapa....na wenyewe sijui watakuwa na tafsiri gani? na mwisho hiyo tafsiri sijui itamnufaisha nani kt ya pande hizi mbili?...kinachonishangaza zaidi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je! Ni kweli wana UKAWA nia yetu ni kuitoa tu CCM madarakani?

    kiukweli nakerwa sana na jibu hilo lenye rangi nyekundu ambalo hutolewa na wengi sana humu jamvini. kwa hakika, jibu kama hilo, is the surest sign of our highest degree of stupidity, if not uncouthness. samahani wadau, hiyo lugha siifahamu vizuri....mleta mada ameleta mada nzuri sn kwa wenye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    una akili ndogo sana wewe! kula mihogo haimaanishi kula mihogo km mihogo.....inamaanisha anakula vyakula vya kawaida tu kama watanzania wengine wa kawaida. jamani hv hii tanzania imepatwa na nini???? mbona watu wamekuwa WAPUMBAVU namna hii?!!!!! waalimu wa 'literature' wako wapi? maskini tz...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Wasiyemtaka kaja,....patamu hapo!!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa kura za maoni CHADEMA Bunda aliyekatwa na CC, ahamia CCM

    kumbe ni kweli yawezekana bavicha ikawa na maana 'baraza la vichaa la chadema' ee kama wengine wanavyoita! ss hapo ccm walilazimishaje mtu huyo kupitishwa huko kama nyie siyo vichaa mliokosa muelekeo? watu wengi mno wamekatwa ccm na kuhamia chadema.....sijasikia hata siku moja mtu kutoka ccm...
Back
Top Bottom