Hiv wabunge wa chama tawala wanadhan katiba waitakayo ndo itawadumisha madarakan?wajitafakali vizur ili wasije wakawa wanaimba wimbo wa mob psychology wakat uchaguzi ukifika unamhusu mbunge mmoja mmoja.wajifunze kutoka kwa lawrence masha.
kimsingi mr,presidaa katoa nafas kwa makundi mengine nje ya ccm kutoa mapendekezo yao ya namna mswada unavyopaswa kuwa hivyo ningeshangaa kwa mh.chikawe awe na mapendekezo wakati yeye si kutoka kwenye hayo makundi.jaribu kuwa muelewa na mfuatiliaji wa masuala si mkurupukaji kwan siasa safi...
Kama watanzania tunahitaji KATIBA ya miaka mia ijayo ni vyema mkakat uwe ni kuwangoa wabunge waccm ndan ya chama au kupitia vyama vya upinzan 2015.Mim nitaanza na serukamba ajiandae kurud mtaani kuganga njaa siku zake zinahesabika.
Mbona kinana hajatoa press release ya kuhusu shutuma za pembe za ndovu zaid ya kutumia majukwaa ya kisiasa na wapambe uchwara kumtetea.Kuhusu ya mama zito nenda kwa polisi ndipo taarifa sahihi ziko je ya ndovu twende wapi?
Nikiwa kama mtanzania napata wasiwas pindi ninapoona kuna kikundi cha watu kinatetea kutoweka kwa tembo kwa kisingizio cha kulinda hadhi ya watu au kikundi flan,majangili yametajwa kwenye kikao kilichofanyika Bangkok either wazir au watendaji wa wizara walikuwepo iweje naibu wazir wa ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.