FULL TEXT: HOTUBA ya Kambi ya Upinzani iliyosomwa na Lissu, Katiba na Sheria, yaibua makubwa bungeni

Sawasawa, naunga mkono hoja...

Katiba ni ya watanzania wote. Wanasiasa wasituendeshe na matishio yao ya kujitoa au kuwashawishi wananchi wasusie mchakato...

Ni sawa kabisa mkuu,pia vyama visitowe waraka wa nini cha kufanya ikiwa kweli vinaongozwa na dhamira ya kweli nibora sana kuhamasisha wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi wa mabaraza kuliko kutoa waraka wa kuteka mabaraza ya kata kwa maslahi ya kujiwekea defence mechanism
 
Katika swala la Mwangosi, Lissu alipaswa pia atoe ufafanuzi wa jinsi CHADEMA inavyotumia picha na video za tukio la kifo cha Mwangosi kujiingizia pesa. Ikumbukwe kuwa Mwangosi alikufa kwa sababu CHADEMA wakiongozwa na Dr. Slaa walikataa kuheshimu amri halali ya polisi na kwamba Dr. Slaa aliwachochea vijana wadharau amri ya polisi lakini yeye mwenyewe Dr. Slaa aliheshimu amri hiyo na kujifngia hotelini Iringa mjini huku akifuatilia matukio kwa njia ya simu kuulizia mambo yanaendeleaje.

Fujo zilizoongozwa na Dr. Slaa kwa simu zilisababisha Mwangosi kufa na sasa video na picha zake zinatumiwa na CHADEMA kujiingizia fedha ndani na nje ya nchi.
XXXXX hivi wewe unafikiria kwa kutumia makalio au kwa vile na wewe una tatizo la Unpaired chromosomes?Cjawahi kuona mjinga kama wewe TAKOMARKOPOLO!!!UNAAMBIWA OCD NDO MWENYE AMRI HALALI YA KUZUIYA MKUTANO NA SIYO ERPC KAMA ALIVYOFANYA KAMUHANDA SASA HAPO ALIYEKIUKA AMRI NI NANI KATI YAO?HEBU SOMA VZURI KATIBA NA MAELEZO YA LISSU HAPO JUU ACHA KUTIKWA MAPOVU KOTE KOTE.ILA NAMSHUKURU MUNGU MAMA YAKO KUKUZAA KLA SIVYO ANGEPATA KANSA YA KIZAZI.
 
XXXXX hivi wewe unafikiria kwa kutumia makalio au kwa vile na wewe una tatizo la Unpaired chromosomes?Cjawahi kuona mjinga kama wewe TAKOMARKOPOLO!!!UNAAMBIWA OCD NDO MWENYE AMRI HALALI YA KUZUIYA MKUTANO NA SIYO ERPC KAMA ALIVYOFANYA KAMUHANDA SASA HAPO ALIYEKIUKA AMRI NI NANI KATI YAO?HEBU SOMA VZURI KATIBA NA MAELEZO YA LISSU HAPO JUU ACHA KUTIKWA MAPOVU KOTE KOTE.ILA NAMSHUKURU MUNGU MAMA YAKO KUKUZAA KLA SIVYO ANGEPATA KANSA YA KIZAZI.

Je, kwanini Dr. Slaa hakwenda kwenye fujo hizo badala yake alikuwa anawaambia vijana wake wasikubali "mpaka kieleweke" wakati yeye kajifungia hotelini?
 
Inashangaza sana watu walioapa kwamba kuliko kuandikwa kwa katiba mpya bora wafe leo wamajifanya wako mstari wa mbele kutetea katiba kwanini wanaegeuka na wanaharibu mchakato mzima wa katiba, mwanasheria mkuu wa serikali Werema alipinga katiba kwa nguvu zote, waziri wa wakati huo alisema katiba iliopo ni nzuri leo LISSU anatoa hoja ya kusaidia taifa wao wanaleta ushabiki wa kipuuzi kama wana uhakika ccm itashinda kwenye mchakato wa mabaraza ya kata kwanini wanaukataa mfumo huo, ccm ni sikio la kufa chadema msikate tamaaa wao wako wengi bungeni wa wanafanya mambo kishabiki sisi tuko wengi mtaa tutakutana nao huku. na tumejua kumbe hata Prof Baregu amechanganywa na maposho makubwa makubwa ndio maana naleta kiburi.
 
Je, kwanini Dr. Slaa hakwenda kwenye fujo hizo badala yake alikuwa anawaambia vijana wake wasikubali "mpaka kieleweke" wakati yeye kajifungia hotelini?

Hiiii Kwani pale CDM walikuwa wameandaa FUJO au Ulikuwa MKUTANO wa ndani ili tujadili kwanini wao hawakushiriki?Kwanza hebu rudi kwenye hoja kwamba CDM hawakutii amri halali kutoka wapi na kwa nani?Na jee mbona tusihoji wakati polisi WANAWAUA MWANGOSI NA WALE VIJANA WA MORO ARUSHA MBONA NAPE,DHAIFU (JK) NA MWEMA HAWAKUWEPO?
 
HII TUME YA KATIBA NI MAJANGA!!BOFYA https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Vs87TgyKxDE#!

KWAKWELI NCHI YETU SIO MASKINI!NENO UFINYU WA BAJETI LINATAMKWA SANA KWENYE KUKWEPA MIRADI INAYOWASAIDIA WANANCHI KAMA KWENYE KUTOA HUDUMA ZA AFYA, MAJI, ELIMU. ILA INAPOFIKA KWENYE KUFACILITATE ULAJI KWA VIONGOZI, MATUMIZ YETU HAYAREFLECT KABISA UFINYU WA BUDGET WALA HII HALI YETU YA KIUCHUMI ILIYODHOHOFLIHALI. NDUGU ZANGU UNYANG'AU HUU SIO WA KUUFUMBIA MACHO, WANANCHI WAELIMISHWA VYA KUTOSHA ILI WAJUE WIZI HUU UNAOFANYWA NA SERIKALI YAO.
 
Hiiii Kwani pale CDM walikuwa wameandaa FUJO au Ulikuwa MKUTANO wa ndani ili tujadili kwanini wao hawakushiriki?Kwanza hebu rudi kwenye hoja kwamba CDM hawakutii amri halali kutoka wapi na kwa nani?Na jee mbona tusihoji wakati polisi WANAWAUA MWANGOSI NA WALE VIJANA WA MORO ARUSHA MBONA NAPE,DHAIFU (JK) NA MWEMA HAWAKUWEPO?

Umeshaona usanii wa Dr. Slaa kuhamasisha vurugu kwa simu wakati yeye mwenyewe kajifungia hotelini.

Kijana SHTUKA, usikubali KUTUMIKA...
 
Kama watanzania tunahitaji KATIBA ya miaka mia ijayo ni vyema mkakat uwe ni kuwangoa wabunge waccm ndan ya chama au kupitia vyama vya upinzan 2015.Mim nitaanza na serukamba ajiandae kurud mtaani kuganga njaa siku zake zinahesabika.
 
wanaopinga hii hotuba naona wana maslahi binafsi,waisome waielewe, mbona ufafanuzi wa kisheria umetolewa, idadi na majukumu ya wajumbe, na wastani wa matumizi ya fedha, na eti pesa za walipa kodi zitengwe kwa ambaye atapata ukimwi, yaani hela za wapiga kura ni za starehe na kufanya ngono. nawashangaa sana watu wengine, wao wanaangazia kipengele cha Arusha, acha umbulula.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) kimeendeleza umakini wake katika kuibua,kutetea, kueneza na kushawishi ajenda zake nyeti kwa wananchi kwa malengo ya kuhakikisha kuwa kinalinda na kutetea rasilimali za watanzania. Hii ni mifano hai; Mosi, Hoja ya ufisadi imeimaliza kabisa CCM na Serikali yake, kutoka kukana kuwa hakuna fisadi ndani ya CCM then ndani ya CCM kuna mafisadi lakini ni wachache, then Ufisadi unahusisha mtu binafsi na si CCM mpaka kuanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe kwa kuitana kundi la mafisadi au magamba. Pamoja na mradi huu kushindwa kufanikiwa kusafisha CCM, Chadema wakaja na Hoja nyingine juu ya kugawanyika kwa Usalama wa Taifa huku wakidai kuwa kuna makundi makubwa mawili, moja linasaidia kutoa taarifa kwa chadema na jingine linatumika kuharibu amani na utulivu wa nchi, hoja hii imepelekea taarifa nyingi za siri dhidi ya mauaji na utesaji wa raia kufunuliwa. Hoja ya tatu ni juu ya Uhusiano wa Kinana na Tembo wa Tanzania, kwa sasa jina la kinana limejengewa tafsiri ya muuaji wa tembo, wananchi wengi wanaamini kuwa huwezi kuzuia ujangili bila kumkamata Kinana. Haya ndio mafanikio ya chadema.
 
Kuhusu Kujitoa Tume ya katiba Mpya:

It is very clear sasa kwamba CHADEMA wamezoea kupiga mikwara wasiyoweza kutekeleza. WAMESHINDWA kujitoa.

Mbaya zaidi CHADEMA wametoka kwenye hoja ya kujitoa kwenye mchakato, hotuba ya Lissu imekuja na mambo mengine mapya kuwa watahamasisha watanzania kuikataa rasimu.

Kuhamasisha watanzania kuikataa rasimu ni tofauti na kujitoa kwenye mchakato.

Actually hata mimi, wewe na yule tunaweza kuhamasisha watanzania kuikataa rasimu iwapo tutaona haina manufaa kwa taifa. Kwahiyo kitendo cha CHADEMA kusema watahamasisha watanzania kuikataa rasimu sio kitu cha ajabu, ila kina utoto ndani yake kwa sababu rasimu wenyewe hawajaiona. Utajiandaa vipi kupinga kitu ambacho hujakiona kama kina manufaa au hakina manufaa.

All in all chadema MKWARA waliopiga wa kujitoa kwenye mchakato wa katiba ifikapo tarehe 30.4.13 UMESHINDWA. CHADEMA imemsikiliza Prof. Baregu ambaye amewaambia kujitoa kwenye mchakato wa katiba ni siasa za KITOTO...

Ugonjwa ulionao wa kutokuelewa mambo kwa kufkri ni mbaya sana,ila nikushauri omba msaada kwa wachina wakufungie king'amzi kichwani,dalili ya mvua ni mawingu kwa watz waliowaelewa walishajuwa hakuna cha katiba mpya ila ni kiini macho tu kwani huwezi kuanda nyumba ya kudumu kwa msingi wa mbao na udongo ukitegemea mbeleni nyumba hyo itakua imara labda kama we ni mgonjwa wa akili kama mwana ccm yeyote alivyo.
 
Ndugu zangu WATANZANIA; Kama maelezo ya matumizi ya pesa ktk hotuba ya LISU kwa Tume ya Katiba ndivyo yalivyo, basi UZALENDO UMEWASHINDA VIONGOZI WETU. Hii ni kufuru na nikujidhalisha mbele ya WATANZANIA masikini ambao VIONGOZI wanadai kuwatetea. Mzee WARIOBA, bado una misimamo ya MWALIMU NYERERE???!!
 
Sangara hujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe! Hivyo hivyo CCM watajimaliza kwa kujikaanga wenyewe!!
 
Huu ni mpambano wa wasanii btn Ccm and Cdm bt chadema wanaelekea kushinda mana vijana wa lumumba wanaongozwa na ze marcopoli na chris lukosi.
 
Habari ndo hiyo!!! Wamejitengea Million 15 za Kununulia Kondomu ili kujiepusha na ukimwi wakati wa zoezi la mchakato wa katiba! Chagueni CCM tena 2015.
 
Tamaa ni kitu kibaya sana. Kwa umri wake na mambo aliyokwisha lifanyia taifa hili, warioba amekubali kuichafua image yake parmanently...
 
15 milions kwa kununua kondom!!!!!?Hii ni ya kujichukulia tu,kila mtu awe tayar kufanya hvyo akipata nafasi
 
Kilichinishangaza mimi ni mambo mawili. Kwanza wakati mawaziri wanajibu hoja bungeni walipindisha hoja za Lissu na kuamua kujikita katika mambo mepesi.
Lakini waliniacha hoi zaidi waliposema kuwa kiasi hicho cha posho wanachopata wajumbe ni sawa na hakuna kitu, wanafanya kazi ya kujitolea tu. Hivi kama wanheamua wawalipe, wanhgewalipa kiasi gani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom