Recent content by JT2014

  1. JT2014

    Wanaume wenye vitambi wengi wana vibamia

    Ntumie na mimi,maana vya nchi hii nimeishaviona bado vya nje.
  2. JT2014

    Wanaume wenye vitambi wengi wana vibamia

    Na hapo ndo penye utaalam.Hayo maji unatakiwa uyamwage mpaka yakauke,hicho kipimo kikikushinda ndo tunasema mchagua jembe si mkulima.;);)
  3. JT2014

    Wanaume wenye vitambi wengi wana vibamia

    Mkuu tembo haweze kulemewa kwa kumbeba tembo mwenzie
  4. JT2014

    Kaimu Katibu Mkuu UVCCM, Shaka; Atabiri Maalim Seif na Lowassa kurudi CCM

    Sijakuelewa mkuu,labda uliza kwa kiswahili.
  5. JT2014

    Kaimu Katibu Mkuu UVCCM, Shaka; Atabiri Maalim Seif na Lowassa kurudi CCM

    Hii hatua ni nzuri kuelekea kufa kwa vyama vyote vya upinzani.Watu wengine wanashangilia lakini tunasahau kuwa wakati wa chama kimoja hakuna aliyekuwa na haja ya kuangalia/kusikiliza bunge labda wenye ndugu bungeni maana kulikuwa hakuna mawazo mbadala. Naona Tunaelekea huko,na kwa sasa hatuwezi...
  6. JT2014

    Barua hii ya wazi iende kwa RPC Mkoa wa Mwanza, IGP Simon Sirro na Waziri Mwigulu Nchemba

    Mshauri huyo ndugu aonane na mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa ambao ni wenyeviti wa kamati za ulinzi.hapo lazima atapata haki yake.
  7. JT2014

    Viumbe 10 Vyenye Sumu Zaidi Hapa Duniani

    King cobra hawezi kumzidi sumu black mamba
  8. JT2014

    Polisi, ikitokea nimeokota kifaa cha kiaskari au bunduki nifanyeje ili nisihusishwe nacho?

    Jamani mimi naona wengi wetu wanajibu swali hili kiutani. lakini ni ukweli usiopingika kuwa kama una gari kuombwa lift na traffic ni kitu cha kawaida, Sasa achilia huyo aliyekuwa na gari lenye namba za IT je ikikutokea wewe mwenye gari lenye usajili wa jina lako. huoni itakuwa shida zaidi endapo...
  9. JT2014

    Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    Ule msemo wa oil chafu bado upo au ulishafutwa? watu walikuwa wanaokota oil chafu jalalani, cha ajabu siku hizi oil chafu zinanunulika kwa pesa kibao.
  10. JT2014

    Yamenikuta chumbani kwa Kimchepuko changu...

    Wa kubeza wanabeza,ila nimejifunza kuwa mtu asijione salama nyumbani kwake na kujifanyia lolote kwa kudhani yuko peke yake na yule alipo mbele yake.Kuna mengi nyuma ya pazia.
  11. JT2014

    Kwa mara ya kwanza bei ya mahindi iko chini kuliko kipindi cha mavuno, ni kilio kwa wakulima na wafanyabiashara

    Tatizo ni kuwa wafanya biashara wengi hawajiongezi,hapo nyuma bei ya mahindi ilipanda kwa sababu kila mmoja alifungia nafaka yake akisubiri msimu wa mazoea matokeo yake kila mtu ana mahindi wakati wanunuzi hawapo/hawana fedha. siku nyingine wafanya biashara waache kufanya biashara kwa mazoea...
  12. JT2014

    Neno la shukrani alilotoa kijana aliyepiga picha expansion joints za hostel

    Kijana mimi nakushauri fanya unachojisikia moyoni. Ili mradi hufanyi uhalifu,ulichokipost kila mwenye akili timamu anakubali kwamba ulifanya jambo lililookoa maisha yako na ya wenzio ambao waliona ni heri kufa kuliko kuonyesha nyufa za majengo sababu ya woga. Waliogundua ndege meli na vitu...
  13. JT2014

    So sad nimekuta mke wangu akigegedwa na house boy kwenye sofa nilizonunua mwenyewe

    Hapo cha kufanya ni kurudi shule tu,maana zimeishafunguliwa ukirudi mwezi wa tatu hasira zitakuwa zimeisha uendelee na biashara.
  14. JT2014

    NEC yatahadharisha Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi kutojihusisha na siasa maeneo ya uchaguzi wa marudio

    Sasa hawa si ni makada wa chama tawala? Nadhani anawaonea kutojihusisha na kampeni,ni heri angevizuia vyombo vya ulinzi na usalama.
Back
Top Bottom