Recent content by JS

  1. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Afadhali shugacake nikajua nafasi yangu ishawahiwa na watoto wapya wa humu ndani washaniwahi
  2. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Hivi NN ulishawahiwa au bado kuna nafasi Nyani Ngabu
  3. JS

    JamiiForums Tanzania Mwaka wetu huu maana wameamua kututukana

    kwa kweli nimecheka kwa sauti dah
  4. JS

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Jamaa ana roho ngumu [emoji134][emoji134][emoji134]
  5. JS

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Last friday sikuiangalia pia ila katika flash back memory ya calvin inaonekana walikuwa hotelini kwenye chumba. Sasa wapendanao na michezo yao aphiwe akamblind fold calvin ... Hiyo ikatrigger machingu ya yaliyotokea wakati ametekwa kule CAR ndo akamuattack. Mateso aliyopotia akiwa amefungwa...
  6. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki dawa

    Uliniita NN wangu? nani anakusumbua na maswali kuhusu umri? nilidhani tulishamaliza hilo suala kumbe bado? hmmm
  7. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki dawa

    Hivi uliniita NN wangu? nani anakusumbua na maswali?
  8. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada above 30

    Kwamba tumezeeka sana si ndio?
  9. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada above 30

    Umeniita nimekuja.....hivi what happened? Mwenye Uzi tusamehe bure kwa muda mchache tu
  10. JS

    JamiiForums Tanzania IPTL Saga: Serikali yamtaka Balozi wa Uingereza kuripoti Wizara ya Mambo ya Nje, Yatishia kumtimua

    Huyu Naibu Waziri anataka kuiingiza nchi katika matatizo ya kujitakia tena......he has no right whatsover kumuongelea balozi wa nchi nyingine hivyo...ni breach of diplomatic procedures....actually ni amemuongeleshea Cameron kwa sababu ni mwakilishi wake.....
  11. JS

    JamiiForums Tanzania Je! wajuwa kuwa maisha unayoishi ndiyo Ibada?

    Asante kwa kutukumbusha hili
  12. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunahangaika kutafuta fedha watoto wetu nani atawalea?

    Katika maisha haya muhimu ni kujaribu ku-balance at any cost mtu usielemee upande mmoja ukasahau majukumu mengine. Tatizo ni kuelemea upande mmoja kuwaridhisha maboss wetu mpaka watoto tunawasahau. Wazazi wetu wangekuwa hivyo wallahi kizazi cha miaka ya sabini na themanini kingekuwa balaa.
  13. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma uone ilivyo bora kubaki njia kuu kuliko kuwa na kamchepuko

    Hahahaha nimependa hii.......hapana chezea michepuko!!
  14. JS

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Taarifa kwa umma kuhusu ugonjwa wa homa ya Dengue

    Kwa udhamini wa watu wa China
  15. JS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunahangaika kutafuta fedha watoto wetu nani atawalea?

    Usijali BAK wangu am back now....in full force ila kucatch up kidogo itakuwa shughuli
Back
Top Bottom