Mie kero yangu ni umeme. Ni aibu kwa Tanzania kulia na umeme wakati tuna mito kibao tena isiyokauka! Lakini wanasiasa wanasema eti ni tech ya kizamani. Sweden mpaka sasa wanatumia hii tech mpaka wanauza umeme nje. Hoja yangu tujenge umeme wa maji mto Rufiji ambako wataalamu wanasema kuna...
Natafuta vitabu vya ebooks kwa ajili ya Advanced level kama ifuatavyo:
1. Fundaumentals of physical chemistry by Chand
2. Biology science - Taylor Greeen
3. Inquiry into life - Sylivia
Naomba msaada kama kuna mtu anavyo.
Natafuta vitabu vya ebooks kwa ajili ya Advanced level kama ifuatavyo:
1. Fundaumentals of physical chemistry by Chand
2. Biology science - Taylor Greeen
3. Inquiry into life - Sylivia
Siasa kwa ligha ya kigeni ni "Polytics" na ni kilatini ikiwa ni muunganisho wa maneno mawili, poly and tics. Poly maana yake ni wingi na tics ni wadudu wanaofyonza damu ya wanyama kama ng'mbe.
Hivyo kama "Mchukia Fisadi" alovyotahadharishwa kuwa akiingia kwnye siasa hataiona mbingu ndo hii...
Mr. Buswelu nami ninahitaji masaada kama huo, kama unaweza naomba unitumie hiyo ARCGIS 9.3 kwenye DVD. Hii ni email yangu majulajulius@yahoo.com ili inkutumie physical address. Asante
I'm in need of affordable netbook. If somebody know were to buy one in Tanzania please inform me. I searched one in the internet which is ASUS eee pc S101 which seem to please me. It uses DC 12V power ideals for remote areas, SSD storage and more. Or if there is anothe make with the same...
Kwa hapo nami umenikuna, maana nilikuwa na najiuliza swali hili hili! Nadhani twaweza endelea bila mbunge lakini mwalimu asipoingia darasani kufundisha kwa siku ni hasara kubwa sana kwa nchi. Acha waganga na manesi wasiingie hospitalini itakuwaje kwa wagonjwa? Lakini cha ajabu mbunge alipwa hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.