Recent content by jrichard

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa riba ndogo;

    Ndugu wadau nna shida ya mkopo wa shilingi laki tisa narudisha baada ya wiki moja.Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane kwa Namba 0656591689.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria, Matapeli Wameniliza

    Huo wizi upo tangu mwishoni mwa mwaka Jana mi wamejaribu wakashindwa make mi ndo nahudumia na ndo mwenye duka sasa wakituma kwa msichana wangu na Mimi nakuwepo hapohapo kwahiyo tunawaenjoy but mwanzoni ilinipa shida kutambua simu yangu wameipata wapi kutuma SMS kwa msichana wangu.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kumdekeza Mpenzi wako mbele za watu ni uungwana au ni ujinga?

    Mi naona sawa tu..
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ulaya kuna watu wanakufa kwa ukimwi?!

    Nini maana ya ukimwi? Ukishajua hilo ndo utajua kama unaweza kufa kwa ukimwi au la!
Back
Top Bottom