Recent content by Jr said

  1. Jr said

    Mbeya: Askari Polisi afariki kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi

    Sasa hapo uekewe vip mkuu??Mara mapenzi yanaua mara ujinga wako nana uzembe ndio unaua.Et umeelewa ulichokiandika
  2. Jr said

    Arusha: Ukikutwa umevaa Suruali ya kubana, Sketi fupi Faini Tsh. 50,000

    Nimesikia akisema ikioneka kijana hafanyi kazi atapigwa faini Elfu 50.Swali kijana Hana kazi unampiga faini Elfu 50 hio Elfu 50 ataitoa wapi
  3. Jr said

    Mbeya: Askari Polisi afariki kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi

    Mapenzi hayaui Ila watu ndio wanaua na kujiua wakijikuta wanayajua sana
  4. Jr said

    Walimu mbaroni wakidaiwa kufanyisha wanafunzi wa Sekondari Mitihani ya Darasa la 7

    Kweli kabisa "Better few but better" haohao wachache watakao faulu ndio walioelewa Kila mwanafunzi atavuna alichokipanda ,Bora wachache walioelewa kuliko kutumia mbinu za zakufaulusha mbumbumbu
  5. Jr said

    INAUZWA Sofa mbili za mtu mmoja mmoja zinauzwa

    80k nalipia mkuu.
  6. Jr said

    Nina wazo la biashara ila sina mtaji

    Mkuu vp miaka ya Leo vyanzo vya mkiopo ni ving hata through plays like mkeka bet,Biko ,bonanza la 200 na vingine ni risk but ni vyanzo vya mkopo.Ukifel huko kwenye Ile lain yako ya Voda bonyeza *150*00# alaf ok chagua 5 then songesha alaf lisongeshe mdogomdogo had ufike 50k
  7. Jr said

    Msaada wa wazo la biashara

    Njoo ufungue Salon yakiume(Kinyozi) mtaan kwetu hapa Kuna location nzr kinoma alaf salon Hamna... tabata
  8. Jr said

    Kodi ya 1m - 1.5m kwa mwezi, napata frem ya aina gani Kariakoo?

    Kwa kariakoo unapata kauchochoro kakuuzia mishkak tu au mchuz wa pweza sijui ww uliplan biashara gan
  9. Jr said

    Inflation, ongezeko la bei katika bidhaa

    Kwa tz nikiangia suala la ongezeko la ajira bado.watubweng ni jobless haswa vijana. tz labda tuangalie sana kwenye cost push inflation.my opinion
  10. Jr said

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Bro anzisha kinaenda chakuchoma mishkak ni mitamu balaa
Back
Top Bottom