Recent content by jr pompipompi

  1. jr pompipompi

    Mume wangu hapendi kula nyumbani

    Labda chakula kingine hakiko sawa ko kaunganisha test zote na kususa Nabashir tuu[emoji28]
  2. jr pompipompi

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Hahaha ni hatari na nusu Wakibadilisha sana utasikia kisamvu
  3. jr pompipompi

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Sema walipa ada wetu nao shida sana Yani hawataki kusikiliza mawazo yetu wasomaji kabisa, mbaya zaidi wanasema tuu wewe soma hawaangalii hata soko la ajira likoje
  4. jr pompipompi

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Sasa mkuu swala gumu hapa ni how to meditate
  5. jr pompipompi

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Duuh hii mbona kama inataka kua ngumu ivi Kuna watu wanalala na kuamka wanawaza kuvyanduana, vip hapa hawa call yao inaweza kua wacheza porno eeh?
  6. jr pompipompi

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Ndio sijui sasa how to meditate ili nifungue iyo code mkuu Help out, hili life sio poa
  7. jr pompipompi

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Meditation unafanyaje mkuu Tupe madini hayo mkuu unaweza kumbe nina lengo muhimu mm sijui khaaah
  8. jr pompipompi

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Iyo code ni ngumu aisee Mimi hata sijui nilikuja kwa lengo gani just naishi tuu[emoji28] May be kuzaliana
  9. jr pompipompi

    Mapya yaibuka: Tukio la daktari aliyefumua mshono wa mgonjwa lilitokea mwezi Julai

    ifike pahala watanzania tuwe wazalendo ktk nafasi tulizojaaliwa na m/mungu, maslah yafate baadae, so sad...ila namuombea kheri maana atakua amepata funzo ktk hili
  10. jr pompipompi

    Biashara ya jezi za Simba kwa msimu huu huwenda zikakwama kwenye marketing

    utopolo aka mazombi sc ukae kwa kutulia, acha kua marehemu shehe yahaya husen
  11. jr pompipompi

    Nini nifanye kunusuru uhai wa mzazi wangu (Naomba msaada wa kitaalamu)

    amina, nashukuruni wote kwa maombi yenu na ushauri, tumerudi hospital dokta kasema atakua sawa kuna dawa wanampa kwa njia ya drip[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom