Recent content by Jqpt

  1. J

    JamiiForums Tanzania Makosa katika utumiaji wa Fedha

    Safi sana, dah umenipa points nzuri sana.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki tuache kuhama kwasababu ya kutafuta faraja, vituo vya Karismatiki vipo kwaajili hiyo

    Naona huna hoja ya msingi kuhusu nilichoandika, lakini najua umeshaelewa vya kutosha, Umesema Mungu hajaandika sehemu kuhusu kumheshimu Maria, hii ni dhana ya kitoto kabsa, unajua maana ya heshima? Na kinyume chake ni dharau, kwa hiyo huko kanisani Kwenu mnafundishwa usipoona imeandikwa kwenye...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki tuache kuhama kwasababu ya kutafuta faraja, vituo vya Karismatiki vipo kwaajili hiyo

    Hakuna anayemtukuza Maria bali tunamheshimu sana kama mbarikiwa kuliko wanawake wote, soma Luka1:48, Luka1:28. Ivi unaweza kujiuliza kwa akili ya kawaida kabsa, kwamba inawezekanaje umheshimu mtoto halfu aliyemzaa umtukane( tena wengine husema ni bahasha),? Kumbuka Yesu alipoletwa na Mungu hapa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Zipi hizo, tutajie basi mkuu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Hahahaa,aya bwana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Msaada wadau simu aina gani ambayo betri yake ni imara sana, pengine unaweza kutumia hata wiki moja huku data ikiwa on?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Ushauri mzuri sana huu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante sana mkuu kwa hii thread nzuri, kama vpi mambo yakiwa tayari tupe utaratibu.
Back
Top Bottom