Recent content by jponcian

  1. jponcian

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    Kwa mtazamo wangu hii haimaanishi kuwa hujachaguliwa round 2
  2. jponcian

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    Unaweza kutuwekea screenshot ya hiyo dashboard?
  3. jponcian

    Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

    May be wanastahili kupongezwa. Lakini tafiti zinaonesha kuna uwalakini. Waweza jisomea makala iliyotoka hivi karibuni kwa kufuata link hii: http://rdcu.be/nUwH
  4. jponcian

    UDOM pitieni hapa Mungu kajibu sala zetu

    Nitumie na mimi kwa email hii jponcian@yahoo.co.uk
  5. jponcian

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Tangazo la wizara kuhusu vigezo vya kutoa mikopo mwaka huu linasema mtu atapatiwa mkopo kulingana na tathmini ya uwezo wake (means testing) katika vipengele vyote. Ukipata 0% ya ada vivyo hivyo itakuwa kwa bumu na vipengele vingine. Labda wabadilishe
  6. jponcian

    Nauliza. Bodi kuniandikia hivi nini maana yake?

    Kwanza kila mtu kwenye orodha ya majina yanayosemekana kuwa ni batch ya kwanza waliopata mkopo amewekewa 0 katika kila kipengele. Ni ama hakuna hata mmoja aliyepata mkopo au bodi wameiurupuka na kuweka taarifa zisizo kamili
  7. jponcian

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kulekea vyuo vikuu 2016/17

    Kasome vizuri tangazo la bodi kuhusu vigezo vya kutoa mikopo mwaka huu
  8. jponcian

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kulekea vyuo vikuu 2016/17

    Mwaka huu hata bumu linatolewa kwa asilimia. Ukipata 0% ya ada unapata 0% ya bumu pia
  9. jponcian

    Yaani mtu aanacha chuo kikuu anakiangalia hivi hivi?

    Hivi unajua hata hao wanaosemwa wamepata wamepewa 0 katika kila kipengele? Labda kama bodi wamekosea otherwise hakuna aliyepata mkopo so far
  10. jponcian

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Hata kwenye meals and accommodation wamewekewa 0
  11. jponcian

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Kweli kabisa mkuu. Swali ni kwa nini iwe kwa wote?
  12. jponcian

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Kwa hiyo inaingia akilini watu wote hao wapewe 0%?
Back
Top Bottom