Kuna msemo wajanja husema,kusoma,hujui,sio makosa yako,Wenda swala ni ada,hata na picha pia udhindwe kuelewa kuwa zinamaanisha nn!!kulingana ni hii ilivyopendelewa na Mungu!!kila kitu tunacho,.Lakin sasa angalia uchumi wetu!!angalia gape lililopo kati ya wenye nacho na wasio nacho!!in...