Ndo mahali niliko kuwa nimepafikilia tu ndg hasa baada ya kuambiwa kasaidia wengi pia. Na mm jinsi navoteseka nikaona nikifanikiwa huko nikapona ni sawa, lkn ndo maana pia nikaomba na ushauri kwenu maana bado cjaenda
Habarini za leo, poleni na majukumu. Nawashakuru wote mlionipa pole na kunitia moyo juu ya tatizo langu. Lakini nimeona wako ambao wana mitazamo tofauti wengine wakitukana na wengine kupata mashaka kuhusi huenda mm nitapeli, na wengine kusema mbona sionyeshi ushirikiano na nimetoweka wote hao...
Ahsante wote kwa pole zenu. Sijui kama ni mikosi na laana au kuna mkono wa mtu juu ya ninayopita hasa pale napopiga hatua nikianza kuona mwanga mambo yanageuka tena. Lakin namwachia Mungu yote.[emoji120]
Tar 05 ya mwez jana nilimpoteza mama yangu mzazi aliyeugua kwa miezi 2 nyuma kabla ya umauti kumkuta. Ni mzazi pekee aliyekuwa amebaki ya kifo cha baba yangu mzazi kwa ajali.
Maisha yangu yalikuwa ya kubaingaiza sana na hali yangu kiuchumi ilizorota sana baada ya mama yangu kuwa ameugua kwa...
Huyu walompa ukocho mkuu binafsi nina mashaka nae ingawa anaweza kuwa na vyeti vya elimu ya kutosha juu ya taaluma yake. Lkn kuwa na cheti na nin unachokifanya kulingana na taaluma yako ni vitu viwili tofauti.
Simuoni kama ni kocha anaweza kuivusha simba na sioni kama ana mbinu zaid za...
Ahsante sana kaka. Na nawashukuru wote pia wanaonitia moyo napata nguvu kutokata tamaa. Pia nawashukuru wachache waliojitolea kwa chochote hata kidogo walichokuwa nacho kuni-support hivi sasa niko njiani kwenda kumzika mke wangu. Tuzidi kuombeana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.