Recent content by Jozedan56009

  1. Jozedan56009

    Nafasi za sales & closer (5)

    Mbez ya kimara
  2. Jozedan56009

    Nafasi za sales & closer (5)

    Habari Watu 5 wanaitajika kwa ajili ya kazi ya sales na ku close deals Location: Mbezi , Dar Es Salaam Namba: 0763497384
  3. Jozedan56009

    Nawezaje kuwa Super dealer?

    Habari wandugu... Vigezo vya kuwa super dealer wa gas za kupikia ni zipi ...na mwenye abc ya hii biashara. Na je mtaj wa 50 ml unaweza tosha? Na changamoto zake? Natanguliza shukran
  4. Jozedan56009

    Nauza monitor dell e2011h 20"

    Bei 180 Maongezi yapo 0678650509 . Nko mbez mwisho
  5. Jozedan56009

    Msaada katika biashara ya pembejeo za kilimo

    Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja
  6. Jozedan56009

    Tunakwama wapi umewahi kujiuliza Kwanini top 10 ya matajiri wa dunia wengi wao wanabackground ya programming

    Nimesoma Cs & Technology... Ila ni kwa extra effort ndio unatoka nondo... hii field bila extra effort utoboi.... na kwa china ni hali mbaya zaidi kwasababu kule bila kusoma kwa kichina utabaki kupoteza mda tu . Ukitaka difference kwa china soma kwa chinese medium sio english. Been there for 6...
  7. Jozedan56009

    Ipi nzuri kati ya Crown Athletes grs200 na Mercedes Benz C200 Compressor

    Habari wakuu, Wenye uzoefu na hizo gari mbili ipi iko vizuri?
  8. Jozedan56009

    Full Stack Developer Needed

    Nenda Google kachek full stack javascript developer ni nan !! Utapata majibu na kuchujua skills anazotakiwa kuwa nazo... cheti sio muhimu coz unaweza kuwa na cheti lakin uko empty.... apa skills ndio kipaumbele. Project itakuwa discussed after seeing skilled enough to fit in . Ndio maana kuna...
  9. Jozedan56009

    Full Stack Developer Needed

    Habari Naitaji Full Stack Javascript Developer Or ( Front end na back end mkafanya team ) Pamoja Na Mob Developer ( Flutter or React Nqtive Dev ) Call: 0678650509 NB: Lazima muwe based on Dar Es Salaam
  10. Jozedan56009

    UX UI Designer Needed

    Habari Naitaji UI Design Ya App & Website So Kama ww ni good designer nichek 0678650509
Back
Top Bottom