Recent content by joyron

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    UZOEFU WANGU: VIFAA NA RASILIMALI WATU Namiliki Car Wash huku kunduchi karibia na Eneo la Jeshi. --Kodi ya Eneo--150,000 tshs. Na hii ilishuka kutoka 500,000 tshs wakati nafungua. Kwasababu mzunguko wa biashara ulikuwa mdogo. Bei mara nyingi ni maelewano. --Malipo ya wafanyakazi? Na walip kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

    Ukisema ''kustuck'' simu yako inagoma upande gani? Inachukua muda mrefu kudownload picha? Apps? Kufungua kurasa za internet?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

    Camera ni mbaya upande gani? Mwanga mdogo? Haina flash? Rangi ya picha haivutii? Au?...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

    Unapenda simu gani? Na kwanini hauipendi Infinix Hot 6 pro? Kuna vitu gani vimepungua? Au haupati huduma gani?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

    Asante kwa mchango wako kaka. Je Unatumia simu ya aina gani? Na Ulinunua shilingi ngapi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

    Mahitaji gani kwa mfano? Whatsapp? Facebook? Games? YouTube? Video Za Muziki? Betri vipi? Inakaa muda mrefu?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

    Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya simu hapa Tanzania. Tupo kwenye michakato ya kuboresha huduma zetu. Na ili kufanya hivyo tukaamua kuutengeneza huu uzi. Hii post ni kwa ajili kupata USHAURI wenu wadau wa simu za smartphone. Unaweza ukatuambia ni kitu gani kilikufanya ununue simu unayotumia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Vurnerability iliyojitokeza kwa GOOGLE isijekuwa sababu ya wewe kuwa mikononi mwa hackers {SOMA HAPA}

    Swali ni unawazuia vipi wasichukue details zangu au za mtu yeyote? Natakiwa nisitumie google au?
  9. J

    JamiiForums Tanzania MSAADA : mwenye kujua Jinsi ya Kujiunga na JUMIA ili Niwe nauza bidhaa.

    Kama hutamaindi nikikuuliza, kwanini ungependa kuuza bidhaa zako jumia?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jumia na tabia ya kuchomoa vifaa kwenye bidhaa wanazouza

    Hahahahah....Nimecheka sana nilivyosoma hii...asante...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuwapata wateja kwenye biashara yako?

    Unaweza ukatumia njia mbali mbali: -Nenda door to door. Au nyumba kwa nyumba ukiuza bidhaa yako -Weka meza kwenye soko, au barabarani. Fanya ''demo'' kwa kutumia microphone ku-promote bidhaa yako. Kuna ambao watajipitisha ili kujua unasema nini. Lenga wanawake. -Tengenza vipeperushi, au...
Back
Top Bottom