Recent content by JOYOPAPASI

  1. JOYOPAPASI

    Mwaka mzima wa kuchaguana chama dola mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91] upinzani ni sanaa tu

    PILIKA PILIKA ZA TAKRIBANI MWAKA MZIMA WA CHAGUZI ZA CCM KUANZIA VIKAO, MIONGOZO HATIMAYE CHAGUZI NDANI YA MASHINA, MATAWINI, KATA HATIMAYE WILAYA ULIGOTA TAREHE 02/10/2022 NA SASA KINACHOSUBIRIWA NI NGAZI YA MIKOA NA HATIMAYE TAIFA Fuatana nami Joseph Yona Dunia imeshuhudia Chama ambacho Ni...
  2. JOYOPAPASI

    Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

    Hakika David Kafulila mwamba wa Escrow, au mwanasiasa msema kwa utafiti ameeleza vizuri na hakika tumeelewa, uchambuzi kuhusu sekta ya maji upande wa Mkoa wa Simiyu imejieleza vizuri, asante mwamba wa Escrow endelea kuelimisha Watu wajue Rais wetu Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii sanaaa.
  3. JOYOPAPASI

    Mashuhuda waliohamia Msomera kutoka Ngorongoro wafunguka

    Hakika tunaishuhudia dhamira njema Sana ya serikali ya Rais wetu Mama #Samia Suluhu Hassan, Sio tu malisho lakini jamani Ngorongoro hakukua hata na sehemu ya kuhifadhiana wapendwa Wao mauti yakiwakua, lakini hata maduka hayakuwepo, sehemu nyingiii tofauti na Kijiji Cha Endureni walifuata bidhaa...
  4. JOYOPAPASI

    Mchengerwa Watumishi wa umma watakukumbuka daima

    Hakika tunamkumbuka sanaa
  5. JOYOPAPASI

    Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa walirushiana maneno kati ya Haji Manara na Rais wa TFF Karia

    Ni Joseph Yona Na soccer letu KWA MUJIBU WA TAARIFA NI KUWA WALIRUSHIANA MANENO KATI YA HAJI MANARA NA RAIS WA TFF KARIA KAMA WALIRUSHIANA MANENO WHY AFUNGIWE MMOJA AU RAIS WA TFF ANARUHUSIWA KURUSHIA MANENO MTU YEYOTE Chini ya Uongozi wa Karia [emoji117] Malinzi Kakamatwa [emoji117] Wambura...
  6. JOYOPAPASI

    RC David Kafulila: Hii ndio hirizi ya CCM kuitawala Tanzania miaka mingi ijayo

    Umeongea kweli kabisa mkuu, CCM muda woote inawaza na inawazia maendeleo ya watu, leo Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii kuhakikisha jamii ya Tanzania inasonga mbele kwa walau kugawana kile ambacho taifa letu limebarikiwa, ndo maana amefungua nchi na Royal TOUR kuhakikisha taifa linafaidika na...
  7. JOYOPAPASI

    Hersi Said: Vipaumbele vyangu nikiwa Rais wa Yanga

    VIPAUMBELE VYANGU ENG HERSI SAID NIKIWA RAIS WA YANGA (1) MIUNDOMBINU YA KLABU (a) Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000-KAUNDA JANGWANI. (b) Marekebisho ya jengo la klabu-JANGWANI (c) Kuendeleza TRAINING CENTRE-KIGAMBONI (2) MABADILIKO YA MUUNDO WA KLABU Klabu yetu...
  8. JOYOPAPASI

    Napendekeza kijiji cha Msomera wilayani Handeni kiitwe Kijiji cha Samia

    Pesa za ujenzi wa nyumba za Msomera zinatoka serikalini kutokana na mapato ya NCA... Anyway ili twende sawa ni hivi Ngorongoro hakuna mwekezaji wa hivyo kule wanapohama ni utalii tu....watu wanachanganya kati ya Ngorongoro na Loliondo.... Loliondo kuna uwindaji ambapo hakuna anayehama...
Back
Top Bottom