Recent content by Joyomi

  1. J

    Customs Assistant II at TRA (80 Posts)

    Appreciate[emoji120]
  2. J

    Customs Assistant II at TRA (80 Posts)

    TRAS 3 ni kiasi gani cha mshahara?
  3. J

    Ushauri wa Bure juu ya gari yako

    Sabuni gani ni nzuri za kuoshea gari, na baada ya kuosha gari nini cha kupaka ili gari na taa zing'ae na gari liwe lina muknekano mzuri lisipauke?
  4. J

    Huduma Za Usafirishji

    SAFIRI KIFALME, Kwa huduma za uhakika kwa usafirishaji abiria na mizigo, kupeleka watoto shule n.k, Tafadhali tupigie 0672 706 263, tupo Dar Es Salaam Temeke, Bei ni maelewano na ni nafuu sana.
  5. J

    Ushauri wa Bure juu ya gari yako

    Kuhusu kuisha kwa matairi, kuna uwezekano matairi yanajazwa upepo kuliko ilivyoshauriwa hivyo fatilia mahitaji ya tairi husika kwamba kiwango gani kinatakiwa, kwa kuongezea matairi yote inabidi yawe na upepo sawa, kuvuja kwa oil itakuwa pale chini ya injini unapomwagia oil kutakuwa kumelegea au...
  6. J

    Naomba ushauri baada ya kununua gari

    Bhana wee, nani wa kununua 0km, labda serikali tu ... !! 99% tunanunua used cars ... !! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Naomba ushauri baada ya kununua gari

    Jaman af tuwe serious katika kutoa comments, kama kitu unajua toa maoni yako kwa uzoefu au kwa kusikia ila masihara yakiwa mengi mnayumbisha ... !! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Naomba ushauri baada ya kununua gari

    Habari ndugu zangu, naomba ushauri kwa vitu vya kuzingatia unaponunua gari mpya kwa mara ya kwanza, yaani umeenda kununua showroom au umeagizia kutoka Japan na ndo limefika. Nini cha kuzingatia kabla na baada ya kukabidhiwa gari? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom