Recent content by Joyeuse

  1. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    hongera Insider Man .. hakuna mkamilifu ila muhimu kujua ulipokosea na kusawazisha.... Allah azidi kubariki
  2. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hii story imeisha hadi roho inaniuma
  3. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Asante sana kwa story yako na kwa muda wako. Nimejifunza mengi sana sanaa....
  4. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Nakubali sana simulizi zako Analyse
  5. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Its analyse again....... hakikaUnajua kusimulia nakukubali aissee..
  6. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tuletee episode nyengine Insider Man[emoji108]
  7. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawatafuta ndugu wa baba yangu

    Ingia facebook kuna group ya watu wa Lindi Nachingwea na Mtwara.. nadani itakiwa rahisi kuwapata.
  8. Joyeuse

    JamiiForums Tanzania Nimerudi shule japo umri umenitupa mkono

    Good.. fanya kile moyo unapenda humu wapo tutakapa moyo na wapo watakao kikatisha tamaa.. jiamini
  9. Joyeuse

    JamiiForums Tanzania Natafuta Alarm system ya gari yenye bei ya kawaida

    Nahitaji mkuu nifafanulie inafungwaje na inapatika wapi ...
  10. Joyeuse

    JamiiForums Tanzania Natafuta Alarm system ya gari yenye bei ya kawaida

    Inapatikana wapi.. na inafungwa hasa kwenye gari mkuu .. tafadhali nijibu nishalizwa
  11. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumsaidie huyu kimawazo

    Huyo binti na mama yake lao moja. Wote hawajielewi
  12. Joyeuse

    JamiiForums Tanzania Imekaaje baada ya mtoto kuhitimu la 7 nikamsomesha QT?

    Babu baby my fureeend
  13. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    Ahhahahaha atapewa kama dawa dozi ya dawa za kienyeji yaani hazina muda maalum.. mgonjwa kila akisikia maumivu anakunywa tu.
  14. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Loh
  15. Joyeuse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa kacheza vikoba hewa mwaka mzima kupitia mke wake

    Ahsante mkuu
Back
Top Bottom