Recent content by Joyce wohwoh

  1. J

    Tuwekee hapa majina ya miti inayofaa kuoteshwa mazingira ya nyumbani

    Yani ni wa hovyo balaa mzizi wake unatambaa umbali mrefu n amkubwa kweli,kuuchimba uutoe wote ni kazi kwelikweli.
  2. J

    Nani anaifahamu Vudoi Sec School, Mwanga - Kilimanjaro?

    Naifahamu vizuri,shule nzuri iko mwanga Town kabsa,pia ukihitaji mawasiliano unapata.
  3. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Amina Amina hata sasa nauona ukuu wake ,Mungu achunguziki unapoona umekwisha kabisa yeye anaanzia hapohapo
  4. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Asante ndugu kwa mawazo kesho naenda police kufatilia maana leo hata job sijaweza kwenda sikuwa na nguvu kabisa.
  5. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Ni kweli kabisa nilifanya uzembe sana,naombeni mnisamehe kwa hilo Mniombee nipite salama kwenye hili pito langu.
  6. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    NASHUKURU MUNGU SANA NIMEZUNGUMZA NA MKE WANGU NIMEMWAMBIA KILA KITU KILICHOTOKEA AMENIFARIJI SANA TUNAMUOMBA MUNGU ATUPE KUSAMEHE NA WEPESI WA KUBEBA HILI JAMBO,NALICHUKULIA KAMA KUTOA SADAKA MAISHA LAZIMA YAENDELEE.MUNGU AWABARIKI SANA NDUGU ZANGU HUMU JUKWAANI MMENIFARIJI PIA NA NIMEJIFUNZA...
  7. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Ndio nnayo na hiyo kampuni imesajiliwa kabisa Brela.
  8. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Nimekata tamaa sana, sijala toka jana na wala sisikii njaa. Nashindwa kujisamehe kabisa mawazo mabaya yananitawala sana.
  9. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Nilikuwa nawasiliana nao kwa email na insta.
  10. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Hawana agent Tanzania kabisa.
  11. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Ni mimi wala sio rafiki, familia inasubiri gari sijui hata cha kuwaambia, najiuliza hivi ntakuja kaa sawa kweli na kusahau kabisa?
  12. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Siwezi danganya nimetapeliwa kweli ndugu zangu siko kwenye hali nzuri, nifarijini tu najua yatapita naomba Mungu uzima tu. Nimeenda CRDB nimewaomba details za huyo aliyefungua account namba wamekataa, hawaruhusiwi details za mtu za kibenki basi nimeishia hapo.
  13. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Nimewasiliana nao Real wa ukweli wameconferm sio wao nilikuwa barabarani ndugu zangu,inforealmotor@gmail.com. ndo email yao.
Back
Top Bottom